Wanaume wenzagu wa Musoma, jifunzeni kula vizuri basi! Mnatia aibu

Wanaume wamemuonesha vile ambavyo chakula (nyama ) huliwa. Nadhani akipata wasaa mwingine wa kula nao atachangamka.

VITA NI VITA MURAA!
Ukitoa kiporo cha wali
Hakuna kiporo kingne tunachobakiza, yeye alitaka wale kama sakrament, nyama nyngne ibaki halafu waanze kuhadithiana..sisi hatuko hvo
 
Kwenye swala la kwenda msalani mnaongoza yaani kila muda ivi shida nini??hahahaha
 
Kwenye swala la kwenda msalani mnaongoza yaani kila muda ivi shida nini??hahahaha
1. Kwanza tunakula sana
-kumbuka uwezo wa mtu kula hutokana na jinsi anavyotafuta hcho chakula

2. Pamoja na kula sana, utumbo wetu upo imara na digestion inafanya kazi vizuri sana.

3. Sasa mtu huku mikoani unashindia chips na tumishikaki tumoja, huko chooni utaenda kunyia nn au hewa?
 
Kweli kwenye swala la ulafi mnaongoza, nimeshuhudi watu wanakaribishwa chakula wanaenda wanakimbia kabisa asee jmn nyie basi hahahaha
 
Kwanini bado watu wanakula kwenye sinia moja, kila mtu awe na sahani yake, badilikeni
 
Ukitoa kiporo cha wali
Hakuna kiporo kingne tunachobakiza, yeye alitaka wale kama sakrament, nyama nyngne ibaki halafu waanze kuhadithiana..sisi hatuko hvo
Akikaa kule Mara wiki mmoja tu tayari anakuwa mwamba kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…