Wanaume wenzangu hii tabia ya kupost vyakula mnavyokula kwenye status zenu huwa mnamaanisha nini?

Wanaume wenzangu hii tabia ya kupost vyakula mnavyokula kwenye status zenu huwa mnamaanisha nini?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Hapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya 😋😋.

Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?




C9FB7266-D697-4415-9375-EA0C3BC01C07.jpeg
 
Hapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya [emoji39][emoji39].

Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?




View attachment 2561694
Aisee me ni mzaliwa wa dar na ni mkazi wa dar pia utafutaji wangu 95% ni dar ila sikumbuki kama nimeshawahi kupiga picha chakula na kupost,naona ni upumbavu kupitiliza napostije chakula sasa ina maana binadamu wenzangu hawali ama me ndo mwenye mdomo peke yangu,pia nashukuru sina muda wa kujipost post,unaweza pita hata mwaka sijapost picha yangu yoyote ile,naomba mungu hivi nisivyo vifanya kipindi hiki basi nisije fanya uzeeni kama ntafika huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom