Wanaume wenzangu hii tabia ya kupost vyakula mnavyokula kwenye status zenu huwa mnamaanisha nini?

Wanaume wenzangu hii tabia ya kupost vyakula mnavyokula kwenye status zenu huwa mnamaanisha nini?

Yaani katika mapumbavu ndio hayo ,huwa nayakuta mahotelini yakiagiza kuku au samaki lazima yapige picha. Ni ushamba uliopitiliza
 
Watu wa mikoani Huwa mna bifu na dar hii chuki itaisha lini.Sasa nyie kama hampost magimbi yenu mnataka nmtupangie na sisi matumizi ya simu.Mtu unakuta anaandika yupo bariadi anakula michembe bro huna Cha kumpost[emoji23][emoji23].Yaan nifike Chako ni Chako niagize kuku mzima nimkule niache kumpost tuna motivate ili mjuwe kula acheni Ukhanithi. Mfano Huwa nikifika Arusha Naagiza mguu wa kondoo na mkiwa wake Napost na hamuwezi Fanya kitu,Watoto wadogooooooooooooo[emoji23][emoji23][emoji23].Mwanza nalipost lisangara ama satooooooo watoto wadogooooooooooooo.
 
Mandi hiyo tunapost tu.Watoto wadogoooooooooo
PXL_20230301_115810447.jpg
 
Unacho kitu cha kupost kwanza?
Simu ya kupigia picha clear unayo?

Kwanini uteseke na mtu anayeonyesha kitu cha kawaida kabisa kinachofanywa na watu mara mbili au tatu kwa siku. Unamuonea wivu na kukasirika mtu akionyesha chakula ambacho ni basic need, akionyesha gari si utajinyonga?

Cha ajabu unachofanya ni kuwa viewer, kama hutaki status unaview za nini sasa. Mimi sipendi mieleka na huwa siitazami, sio kuwalalanikia wacheza mieleka. Simple
 
Hapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya 😋😋.

Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?




View attachment 2561694
Bora hao wanaoposti vyakula pekee,ila kuna hawa wanaoposti wakila hivyo vyakula vyenyewe aise sijui ni mimi tu ndyo huwa nawafikiria tofauti
 
Hapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya [emoji39][emoji39].

Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?




View attachment 2561694
Hii ni tabia ya kike kike. Ukiona mwanaume wa aina hii utilie shaka hali yake. Pengine Bwabwa huyo!!!
 
Back
Top Bottom