Wanaume wenzangu hii tabia ya kupost vyakula mnavyokula kwenye status zenu huwa mnamaanisha nini?

Wanaume wenzangu hii tabia ya kupost vyakula mnavyokula kwenye status zenu huwa mnamaanisha nini?

Kupost chakula hakumuondolei mwanaume urijali wake [emoji706][emoji706]
 
Kwa hiyo huyo modo wako akitembea pumb.u nje na wewe utatembea pumb.u nje?
 
Wanasindikizia na neno kwenye caption
‘Umekula?’ Na viemoj wanajichekesha kama wadada
Wengine wakimaliza kula wanapost na vyombo kabisa ya kuwa wameshiba tayari
Pathetic!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio FB wanashindana kabisaaa.
 
Back
Top Bottom