Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa mke wangu mtam HIMARS
😂😂😂😂Sorry nje ya mada, hicho kisamvu kinafanya nini hapo?! Sinapenda aisee, naomba hili mkalitazame mambo ya kupika chakula halafu mnaweka kisamvu.
Hembu ndio nini???embu na wewe uwe unaandika vizuri pia!!We ndio nini? hembu andika vizuri nikuelewe.
Kisamvu kinaongeza akshiiakshii wakati wa kula tena ukute na kapilipili kwa mbalii!!😂😂😂😂
Achana nae huyoKisamvu kinaongeza akshiiakshii wakati wa kula tena ukute na kapilipili kwa mbalii!!
Hao siyo wanaume,ni MABINTI.Hapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya [emoji39][emoji39].
Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?
View attachment 2561694
Hasa za birthday wishing, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mi naonaga kama wana Umama fulani hivi!
kuna hao na wanaopost Screenshot zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio FB wanashindana kabisaaa.Wanasindikizia na neno kwenye caption
‘Umekula?’ Na viemoj wanajichekesha kama wadada
Wengine wakimaliza kula wanapost na vyombo kabisa ya kuwa wameshiba tayari
Pathetic!
Akikujibu nitag [emoji28][emoji28]Ungeshauri wanaume wawe wanapost vitu gani status.
Hasa za birthday wishing, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]