Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
We ndio nini? hembu andika vizuri nikuelewe.We kwani ni jinsia gani?
Aisee me ni mzaliwa wa dar na ni mkazi wa dar pia utafutaji wangu 95% ni dar ila sikumbuki kama nimeshawahi kupiga picha chakula na kupost,naona ni upumbavu kupitiliza napostije chakula sasa ina maana binadamu wenzangu hawali ama me ndo mwenye mdomo peke yangu,pia nashukuru sina muda wa kujipost post,unaweza pita hata mwaka sijapost picha yangu yoyote ile,naomba mungu hivi nisivyo vifanya kipindi hiki basi nisije fanya uzeeni kama ntafika huko.Hapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya [emoji39][emoji39].
Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?
View attachment 2561694
Huo ni usister duu sio uanaumeHapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya ππ.
Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?
View attachment 2561694
Usimsumbue huyo bintiπ....nataniaWe ndio nini? hembu andika vizuri nikuelewe.
Wanamaanisha wao nao wanaliwaHapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya ππ.
Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?
View attachment 2561694