Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
[emoji23][emoji23][emoji23] yeye mwenyewe kapostMwanaume unafungua status za watu kuangalia unakuwa unamaanisha nini?
Umama ni kushusha hadhi ya mama zetuHata mi naonaga kama wana Umama fulani hivi!
kuna hao na wanaopost Screenshot zao
Wanaume wa ule mkoa wetu ule ndo zao.Hapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya 😋😋.
Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?
View attachment 2561694
Afande umekuwa mkaliNi dalili za ushoga... Mwanaume rijali hapost post kama mwanamke...
Bora hao wanaoposti vyakula pekee,ila kuna hawa wanaoposti wakila hivyo vyakula vyenyewe aise sijui ni mimi tu ndyo huwa nawafikiria tofautiHapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya 😋😋.
Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?
View attachment 2561694
Hii ni tabia ya kike kike. Ukiona mwanaume wa aina hii utilie shaka hali yake. Pengine Bwabwa huyo!!!Hapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya [emoji39][emoji39].
Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?
View attachment 2561694
Aise hata mimi kisamvu sipendelei kabisa...mie mchicha bwana😋Sorry nje ya mada, hicho kisamvu kinafanya nini hapo?! Sinapenda aisee, naomba hili mkalitazame mambo ya kupika chakula halafu mnaweka kisamvu.
Sasa ndo uposti postiAise hata mimi kisamvu sipendelei kabisa...mie mchicha bwana😋