Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Fresh wakuu?

Mficha maradhi kifo humuumbua.

Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle lite) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.

Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.

Nafanyaje hapa wakuu?
 
Fresh wakuu?
Mficha maradhi kifo humuumbua.
Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.

Kwahiyo mwanetu ulivyo mpima ukamkuta mzima ndo ikawa tiketi ya kumuamini nakumpitisha.
Unasitahili kuokotewa mawe.
 
Fresh wakuu?
Mficha maradhi kifo humuumbua.
Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.

Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.
Nafanyaje hapa wakuu?
Mpk ufe ndio utapata akili 😀😀

Hakuna ushauri mwingine
 
Castle_Lite unaitwa huku uje kusuluhisha
Kuna hapo amesema apunguze anywe kama ngapi.
Na atapunguzaa kidogo kidogo na hiyo nyingne kuwa anapenda bia.
Shem wetu yuko poa kabisa.😊😊😊😊 anajiamini.

Mm nadhan kama anakunywa bia. Tena hizo light na anazimudu na kufanya majukumu yake basi Bia sio red flag kabisa.

Je Umemuoa? Au Unaishi nae tu? . Mna watoto? Ana majukumu mengine yap yanayombana?.
Analewa na kina nani?.
Ni mwanamke ana shughuli zake rasm na malengo?.

Bia kwa kiasi sio ishu sana. Ishu ni hiyo kupenda sana bia, je matokeo yake ni yapi?. Na inamset vipi yeye kama Mama wa Familia yako?.
 
Fresh wakuu?

Mficha maradhi kifo humuumbua.

Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.

Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.

Nafanyaje hapa wakuu?
Wewe ndio Una shida
 
Back
Top Bottom