Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

Fresh wakuu?

Mficha maradhi kifo humuumbua.

Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.

Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.

Nafanyaje hapa wakuu?
Kuna mlevi na mnywaji, mnywaji anavumilika sababu hapotezi network, ila kama mlevi achana nae.
 
Fresh wakuu?

Mficha maradhi kifo humuumbua.

Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.

Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.

Nafanyaje hapa wakuu?
Sasa mtu anakunywa Castle Light unalalamika!!!! Angekunywa Safari kama mimi ungesemaje??🙃🙃😉😉
 
Kuna hapo amesema apunguze anywe kama ngapi.
Na atapunguzaa kidogo kidogo na hiyo nyingne kuwa anapenda bia.
Shem wetu yuko poa kabisa.😊😊😊😊 anajiamini.

Mm nadhan kama anakunywa bia. Tena hizo light na anazimudu na kufanya majukumu yake basi Bia sio red flag kabisa.

Je Umemuoa? Au Unaishi nae tu? . Mna watoto? Ana majukumu mengine yap yanayombana?.
Analewa na kina nani?.
Ni mwanamke ana shughuli zake rasm na malengo?.

Bia kwa kiasi sio ishu sana. Ishu ni hiyo kupenda sana bia, je matokeo yake ni yapi?. Na inamset vipi yeye kama Mama wa Familia yako?.
Hatujaoana,,ana biashara zake anafanya (Duka la vipodozi),
 
Kilichonishangaza,huko nyumbani kwao pombe ni kama chai vile..unakuta wanakaa kabisa as family na wazazi wao wanapiga tungi kabisa,huku dar mara kwa mara kaka zake wanamuita kwenye mabaa wanakula tungi na kula nyama pamoja.
 
Nimemkumbuka ex wangu mmoja mapenzi yalianzia bar kwenye pombe. Tumeingia bar kama marafiki, tumetoka wapenzi tayari. Akanipitisha miaka mitatu ya furaha na amani with alot of memories. Maskini mie, nikaja kuangukia kwa msabato, hanywi bia lakini moto unawaka balaa[emoji23][emoji23]
 
Fresh wakuu?

Mficha maradhi kifo humuumbua.

Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle lite) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.

Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.

Nafanyaje hapa wakuu?
Wewe unayeishi naye haujui uende naye vipi then kwa hiyo paragraph moja watu wawe wamemfahamu kiasi cha kuweza kukuamulia kama umvumilie au uachane naye?
Can you please make it make sense?
 
Wewe unayeishi naye haujui uende naye vipi then kwa hiyo paragraph moja watu wawe wamemfahamu kiasi cha kuweza kukuamulia kama umvumilie au uachane naye?
Can you please make it make sense?
Mwanetu anahitaji msaada sio wa kumuacha huyo unapigisha mimba double double akipata mimba km 7 mpaka 10 mfululizo hivi anaacha tungi mwenyewe niamini mimi
 
Fresh wakuu?

Mficha maradhi kifo humuumbua.

Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle lite) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.

Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.

Nafanyaje hapa wakuu?
Kwa mtu yeyote aliyewahi kuteleza kitabia akaendaenda bar ujanani mwake hawezi fikiri mara mbili kuhusu nini cha kufanya kwenye hali kama yako.
A drunken mind has neither wisdom nor free will. Under influence of alcohol people fornicate, misuse resources and engage in abusive behavior. Unless you are willing for these, you ought to do the needful.
 
Kwa mtu yeyote aliyewahi kuteleza kitabia akaendaenda bar ujani mwake hawezi fikiri mara mbili kuhusu nini cha kufanya kwenye hali kama yako.
A drunken mind has neither wisdom nor free will. Under influence of alcohol people fornicate, misuse resources and engage in abusive behavior. Unless you are willing for these, you ought to do the needful.
Zingatia hii mleta mada. Mimi ni mywaji.
 
Back
Top Bottom