Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

Experience yangu na wanawake ''walevi' ni uhuni wa kulala hovyo na watu

Kwa wanaume sina uzoefu sana kwasababu bado sijakutana na mwanaume yule mlevi ambaye anakunywa hadi anayumba

Kunywa siku 5 kati ya 7? 😀✋
Sasa unakunywaje hadi uyumbe?!

Kunywa siku 5 wala hakuna issue, as long as unakunywa responsibly.
 
Kwa mtu yeyote aliyewahi kuteleza kitabia akaendaenda bar ujani mwake hawezi fikiri mara mbili kuhusu nini cha kufanya kwenye hali kama yako.
A drunken mind has neither wisdom nor free will. Under influence of alcohol people fornicate, misuse resources and engage in abusive behavior. Unless you are willing for these, you ought to do the needful.
One of the biggest lie tangu CCM iingie madarakani.
 
Sasa Ulitaka Anywe Nani Hizo Kesto Laiti...Ng'ombe Au Mbuzi...??Hizo Zinatengenezwa Kwa Ajili Zamadamu....​
 
Sasa Ulitaka Anywe Nani Hizo Kesto Laiti...Ng'ombe Au Mbuzi...??Hizo Zinatengenezwa Kwa Ajili Zamadamu....​
 
Fresh wakuu?

Mficha maradhi kifo humuumbua.

Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle lite) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.

Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.

Nafanyaje hapa wakuu?

Wapo wengi wasio kunywa pombe Mzee

Akaishi na mlevi mwenzie.
 
Nimekupata dear.
Wanawake si wana ule msemo kuwa hawajinunulii bia? Si unaujua? 😊😊😊😊.
Sasa Mwanamke akiwa bwege na akauiga huu, akawa na kampan mbovu na akawa kichwa panzi. Na akapenda bia. Basi kaisha.

Ila wako wanawake wanaenda bar kwa hela zao au Wanaenda na washkaj zao wa kike. Wanakula na kunywa na kurud home salama.

Ndio maana nikamuuliza Isenye , maana amesema majukumu mengine anatimiza. Je majukumu yapi?.
Amemuoa?. Kama ni yale ya kigirlfriend tu, ya kusex na kutumiana sms za hapa na pale. 😊😊😊😊
Bado kuna namna amuangalie vizur na ampe majukumu meng zaid ili muda umbane.

Ila ahakikishe Mwanamke asiwe mlevi. Apende bia ndio. Maana anaweza kunywa mara kwa mara ila kwa wastani na akatimiza majukumu yake na hasa akiwa na shuguli rasmi na akamudu kujihudumia.

Ndio maana nikajitolea mfano wa mm vs na wa kaka angu ambaye hanywi bia.

Maana kupenda bia sio tatizo. Namna unavyokunywa na matokeo yake ndio tatizo.
Huyu ni aunt yangu anapenda bia lakini sio mlevi.Tangu tunakua anakunywaga bia sijawahi kuskia amegombana na mme wake kisa pombe.Swala la muhimu ni kuwa na kiasi.Binafsi nakunywa na haijawahi kuwa kikwazo kwa mme tangu anioe.
 
1782872101733.jpg
 
Fresh wakuu?

Mficha maradhi kifo humuumbua.

Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle lite) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.

Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.

Nafanyaje hapa wakuu?
Ni yule mjane au huyu ni mwingine
 
Bia ina shida gani ? Kwa upande wako?

Vipaumbele vyako kwake ni vipi ?

Mahondaw na Smart911 wanasema MUONGOZO ulikosekana
 
Back
Top Bottom