Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

Pole sana kwa changamoto hiyo mkuu, ni kitu kigumu sana kuwa na mwanamke mlevi kuzidi wewe au kuishi na mwanamke mlevi ilihali wewe si mlevi chakufanya mweleze kwa upole na upendo aachane na ulevi kwa afya ya malezi ya watoto ikishindikana mtafitie msaidizi awe bi mkubwa.
 
Fresh wakuu?

Mficha maradhi kifo humuumbua.

Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.

Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.

Nafanyaje hapa wakuu?
Jiandae kutombew*a sana
 
Mtu akishakuwa mlevi anakuwa na vijitabia vingine vya kulala na kila mtu, hasa mwanamke

Pombe sijui watu wanaipendea nini 🤦‍♀️
Kwanza sio tamu

Mm nafeel bia tamu 😊😊😊
Anyway dear. Nadhan ww Una uzoefu mbaya na walevi.

Ila kuna kunywa pombe na kuna kuwa mlevi.
kwa mfano , mm huu mwaka toka Jan. Nimelewa ile nikasema nimelewa ni mara 1 au 2. Na ndio unakuta una vibe na uko na wana na kurud home saa 10 alfajiri.

Ila ni makin na unafika tena una drive na sijabeba malaya.

Hizi siku ingine ni haste haste.
Na 5 days kat ya 7 days za wiki nakunywa.

ni kweli ukinywa na ukiwa mazingira hatarishi na ukawa na manyege basi utatafuta mwanamke tu. Ila ukinywa kistaarabu. Haya mengine ukiamua kufanya ni kama yule ambaye hanywi na akaamua jambo lake kufanya dhidi ya mwanamke.

Kaka angu hanywi bia ila ana watoto 8. Kaachana na mke wake. Anakaa na kimada na 40yrs hajafika.

Mimi ni opposite yake.
Wakat kiuhalisia nilitakiwa niwe moto usiooteka. (Achana na ule unaoota ukikaa kwa mbali 😊😊😊😊).
 
Fresh wakuu?

Mficha maradhi kifo humuumbua.

Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.

Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.

Nafanyaje hapa wakuu?
Tafuta mpika uji mkuu Huyo muache tutaonana naye club!Kwa nini niwe muongo?
 
Fresh wakuu?

Mficha maradhi kifo humuumbua.

Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.

Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.

Nafanyaje hapa wakuu?
Usimwache bro nenda naye taratibu msaport baadae mtengeneze mazingira ya kuacha 🍺 taratibu
 
Mm nafeel bia tamu 😊😊😊
Anyway dear. Nadhan ww Una uzoefu mbaya na walevi.

Ila kuna kunywa pombe na kuna kuwa mlevi.
kwa mfano , mm huu mwaka toka Jan. Nimelewa ile nikasema nimelewa ni mara 1 au 2. Na ndio unakuta una vibe na uko na wana na kurud home saa 10 alfajiri.

Ila ni makin na unafika tena una drive na sijabeba malaya.

Hizi siku ingine ni haste haste.
Na 5 days kat ya 7 days za wiki nakunywa.

ni kweli ukinywa na ukiwa mazingira hatarishi na ukawa na manyege basi utatafuta mwanamke mtu. Ila ukinywa kistaarabu. Haya mengine ukiamua kufanya ni kama yuke ambaye hanywi na akaamua jambo lake dhidi ya mwanamke.

Kaka angu hanywi bia ila ana watoto 8. Kaachana na mke wake. Anakaa na kimada na 40yrs hajafika.

Mimi ni opposite yake.
Wakat kiuhalisia nilitakiwa niwe moto usiooteka. (Achana na ule unaoota ukikaa kwa mbali 😊😊😊😊).

Experience yangu na wanawake ''walevi' ni uhuni wa kulala hovyo na watu

Kwa wanaume sina uzoefu sana kwasababu bado sijakutana na mwanaume yule mlevi ambaye anakunywa hadi anayumba

Kunywa siku 5 kati ya 7? 😀✋
 
Nimekupata dear.
Wanawake si wana ule msemo kuwa hawajinunulii bia? Si unaujua? 😊😊😊😊.
Sasa Mwanamke akiwa bwege na akauiga huu, akawa na kampan mbovu na akawa kichwa panzi. Na akapenda bia. Basi kaisha.

Ila wako wanawake wanaenda bar kwa hela zao au Wanaenda na washkaj zao wa kike. Wanakula na kunywa na kurud home salama.

Ndio maana nikamuuliza Isenye , maana amesema majukumu mengine anatimiza. Je majukumu yapi?.
Amemuoa?. Kama ni yale ya kigirlfriend tu, ya kusex na kutumiana sms za hapa na pale. 😊😊😊😊
Bado kuna namna amuangalie vizur na ampe majukumu meng zaid ili muda umbane.

Ila ahakikishe Mwanamke asiwe mlevi. Apende bia ndio. Maana anaweza kunywa mara kwa mara ila kwa wastani na akatimiza majukumu yake na hasa akiwa na shuguli rasmi na akamudu kujihudumia.

Ndio maana nikajitolea mfano wa mm vs na wa kaka angu ambaye hanywi bia.

Maana kupenda bia sio tatizo. Namna unavyokunywa na matokeo yake ndio tatizo.
 
Fresh wakuu?

Mficha maradhi kifo humuumbua.

Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.

Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.

Nafanyaje hapa wakuu?
Mnunulie kreti za kutosha anywee nyumbani. Ukimruhusu kuja baa, usitulaumu.
 
Back
Top Bottom