Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,208
- 20,517
Kwendraa huko , nakunywa Kwa Raha zangu babuu kwani umenizaa? Na sasahivi napiga Hadi nyagi Mzee,Kilichonishangaza,huko nyumbani kwao pombe ni kama chai vile..unakuta wanakaa kabisa as family na wazazi wao wanapiga tungi kabisa,huku dar mara kwa mara kaka zake wanamuita kwenye mabaa wanakula tungi na kula nyama pamoja.
Kaoe walokole