Castle_Lite unaitwa huku uje kusuluhishaanapenda bia (castle light)
Kwahiyo mwanetu ulivyo mpima ukamkuta mzima ndo ikawa tiketi ya kumuamini nakumpitisha.Fresh wakuu?
Mficha maradhi kifo humuumbua.
Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.
Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.
Nafanyaje hapa wakuu?
Tena awe mchagaa....duh. Sina la kumshauri zaidi ya kumwambia Good luck to himHii mtu anashikishwa jumba bovu kwa ahadi hewa et nitajirekebisha, huku kasema mapema anapenda bia 😂!!
Wanawake wa bia nikuwaacha huko huko bar 🍺 🍺
Mpk ufe ndio utapata akili 😀😀Fresh wakuu?
Mficha maradhi kifo humuumbua.
Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.
Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.
Nafanyaje hapa wakuu?
Kuna hapo amesema apunguze anywe kama ngapi.Castle_Lite unaitwa huku uje kusuluhisha
Zipo tamu, Wine, tafuta Ruffino. 250kMtu akishakuwa mlevi anakuwa na vijitabia vingine vya kulala na kila mtu, hasa mwanamke
Pombe sijui watu wanaipendea nini 🤦♀️
Kwanza sio tamu
Wewe ndio Una shidaFresh wakuu?
Mficha maradhi kifo humuumbua.
Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.
Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.
Nafanyaje hapa wakuu?
Mzee unakula mizoga na unatamba🤣🤣Mwanamke Anayekunywa Pombe kwangu big NO! enzi za ujanani nimewala sampuli tofautitofauti weekend Unamtumia usafiri aje kula lager na mishikak ya nundu stori mbili tatu masaa yashasogea mkitoka hapo mpo bwii!! Kifwatacho ITV!
Zipo tamu, Wine, tafuta Ruffino. 250k