Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

Kilichonishangaza,huko nyumbani kwao pombe ni kama chai vile..unakuta wanakaa kabisa as family na wazazi wao wanapiga tungi kabisa,huku dar mara kwa mara kaka zake wanamuita kwenye mabaa wanakula tungi na kula nyama pamoja.
Kwendraa huko , nakunywa Kwa Raha zangu babuu kwani umenizaa? Na sasahivi napiga Hadi nyagi Mzee,
Kaoe walokole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…