Wanaume wenzangu mnawezaje kujizuia na vishawishi nje ya mahusiano yenu?

acha tamaa bado kuna umwiki...
 
Jisemee wee, usiwasemee wengine. Wapo wanaume wanaotulia na mwenzi wake m1.

Huo umalaya ni tabia yako, sio kila mwanaume ana hulka hiyo.
Poleeee
Ukweli nikua mwanaume anayeridhika na mke moja hawahi kuumbwa.ukiona katulia ujue ima hana kitu au iman imemjaa.lakin pamoja na hayo kutaman ni lazma ataman wa nje.tofaut nikua unaweza kutaman lakin ukajizuia kufanya au kumtongoza
 
Umeshajijibu mwenyewe!!
 
Huo ndio uanaume wala huna tatizo lolote mtukazi. Unachofikiria wewe ndio tulivyo wanaume wote tu
 
Kila kitu kinawezekana kujizuia mkuu, hiyo kusema hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja ni kujiendekeza tu. Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…