cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Jidanganyee wee!!jidanganye
maparoko wenyewe ndo hivo tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jidanganyee wee!!jidanganye
maparoko wenyewe ndo hivo tena
Mbon mbili na niko peke yangu?[emoji482]
Unajihalalishia uzinziYaani sielewi Yani, hivi mnawezaje kuvumilia vishawishi vya nnje?? Yani nipo na mwanamke hapa nmelala nae lakini akili akili ipo Kwa kidada kimoja kizur cheupe chenye makalio mazuri nachokionaga kazini kwangu.
Mimi naamini kwenye hii Dunia hakuna mwanaume anaeweza kuwa na mwanamke mmoja tuu, hata awe wa ndoa, ngumu sana,kwanza haiwezekani.
Nikuambie nini wewe kahuni ,Gen Z mnajiita wenyewe.Niambie ewe raisi wa kikosi Cha manyang'au 🤓😆
raisi wa manyang'au uko poa??Nikuambie nini wewe kahuni ,Gen Z mnajiita wenyewe.
Yeeeeesssss,salama kabisa kabisaaaaaa! Hofu kwa upande wako kijana mhuni.raisi wa manyang'au uko poa??
dah raisi wa manyang'au una mbwembwe 🤣😆, kijana Niko poa kabisaYeeeeesssss,salama kabisa kabisaaaaaa! Hofu kwa upande wako kijana mhuni.
🤝🤝🤝Jisemee wee, usiwasemee wengine. Wapo wanaume wanaotulia na mwenzi wake m1.
Huo umalaya ni tabia yako, sio kila mwanaume ana hulka hiyo.
Poleeee
Ukimwi upo barabarani aisee. Ni mjinga pekee ataathirika na ukimwi.acha tamaa bado kuna umwiki...
Kuna hadi ya bluuSio kigodoro kitu og
Kujizuia haina maana umeridhika na hali ya kua na moja ila huna namna.maumbile ya kiumbe cha kiume nikumiliki mke zaidi ya mojaUmeshajijibu mwenyewe!!
Heee kumbee...Unaweza kutulia na mwanamke mmoja ila kwa vigezo maana kawaida yetu tunaoa wanawake wa kawaida ambao ni wife material af nje tunachapa pisi kali
Hahahaha nyieee[emoji119][emoji1][emoji1][emoji1]Icho kigodoro cha mdada wa ofisini kisikuzuzue mkuu.