Wanaume wenzangu mnawezaje kujizuia na vishawishi nje ya mahusiano yenu?

Unajihalalishia uzinzi
 
Una miaka mingapi mkuu? 40?
Kama uko chini ya 30 unakaa na girl mmoja ili iweje? Kula maisha! Piga kila demu unayeona anakidhi vigezo na masharti! Utakaa na mtu mmoja ukifika 30s kama una nia ya kuoa na kuwa na familia.

Wanawake wazuri wapo wengi, piga kila mmoja mpaka nafsi iseme basi. You live only once, goddammit! Hit em up!
 
Wakati huo huo kila nikimuona mkeo na ule u black beauty wake akitembea huku kashikilia dera akili yangu inavuruguka siku nzima, nabaki kumuwaza tuu
 
Wanaume waliumbwa kama wanyama wengine tu tunajitoa ufahamu na haya mambo aliyoleta mkoloni, habari ya mke mmoja sio mpango wa Mungu ni wa wazungu na dini zao na sisi tulikurupuka tu kujifanya tunaujua ukristo saaaana! Wanyama wote mbuzi, ng'ombe, nyani, sokwe, simba, nk, hawana jike moja maana halitoshi. Mwanaume analamba sasa hivi baada ya masaa matatu anataka tena wkt mke bado anajiuguza michubuko na game lililopita. Hata akipewa deile mara 10 bado akitoka nje ya nyumba akapita mwanamke tunatazama tako tu na kulitamani tena, kama mbuzi tu wandugu! Hii ni nature na maumbile ya wanyama wote hata kama haututaki! Mapovu ruksa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…