Wanaume wenzangu mnawezaje kujizuia na vishawishi nje ya mahusiano yenu?

Sifa ya kwanza ya mwanamme ni kusahau kama una MKE.
 
Jisemee wee, usiwasemee wengine. Wapo wanaume wanaotulia na mwenzi wake m1.

Huo umalaya ni tabia yako, sio kila mwanaume ana hulka hiyo.
Poleeee
Labda awe na hofu na mungu sana tena sanaa au anaumwa. Bila hivyo ngumu
 
Piga bapa nzima muda wa kufikiria utakua huna ..... yani Wewe kila time ukiwa home unazima tuu!!!
 
Jisemee wee, usiwasemee wengine. Wapo wanaume wanaotulia na mwenzi wake m1.

Huo umalaya ni tabia yako, sio kila mwanaume ana hulka hiyo.
Poleeee

Kumaanisha kwamba ile ndo dem kajifungua kaenda kwao Miezi kadhaa karudi ukute alijifungua kwa operation bado mshono haujakaa sawa jamaa anamsubiri yey tu... Ukiona mhuni katulia na mwenza mmoja basi anakula nyeto sanna .... au anaumwa.... Pia ana uraibu wake wa kitu flan mf. Betting, Kusali, Ulevi n.k
 
Ni mwanaume mpumbavu tu ndo mwenye mwanamke mmoja.
 
Umeshajijibu mwenyewee.
 
Kweli kbsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…