Wanaume wenzangu mnawezaje kujizuia na vishawishi nje ya mahusiano yenu?

Tofauti na mke wangy mm siwez kumiliki mwanamke mwingine hapa i mean mchepuko but napiga one time nyingi sana ili niwe safe. Mwanaume wengi now days tunanunua Telegram na social media kibao kwa hasara ya kuivunja ndoa maake hawa viumbe huwa hawaelewi hata kidgo mara sms mara call night kali au mimba wakati anajua una mke. So ndivyo tulivyoumbwa wanaume ni hulka ya asili kutamani halafu baada ya tendo unakinai unaanza kujiuliza hivi ni mimi nimelala na huyu duuh acha 😶😶😶
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Fanya jambo sahihi, kwa wakati sahihi na sehemu sahihi.
 
Mke mmoja hatoshi...
 
Watapinga kuwa we si jinsi Me ila tuliosoma chini ya mbuyu siku nyingi sana huwa tunajua na yule mwengine jina lake linaishia "a".

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Amejisahau, vidume wengi humu wanajitambulisha kwa majina ya kike. Kila siku tunasema humu "ukiwa muongo usiwe msahaulifu" hahaa
 
Mwanaume kutamani ni kawaida ila katika maisha ishia kutamani kwa asilimia kubwa kuliko kuhitaji kuingia katika kila shimo kwanza ni laana na ni roho ya kimasikini.

Amini kwamba sio kila unachotamani lazima ukipate kwahiyo wanawake wengine ukitamani ishia kutamani tu basi.
 
Jisemee wee, usiwasemee wengine. Wapo wanaume wanaotulia na mwenzi wake m1.

Huo umalaya ni tabia yako, sio kila mwanaume ana hulka hiyo.
Poleeee
Mbona kama naanza kusisimka nikiona reply zako. Mmmmmmhmn [emoji848]
 
Yesi hilo ndo la msingi.ila kutaman nikawaida na ndio maumbile yetu.kufanya nijambo lingine la maamuz yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…