Wanaume wenzangu nifundisheni jinsi ya kumpa mwanamke mimba

Wanaume wenzangu nifundisheni jinsi ya kumpa mwanamke mimba

Mwambie aiminyie kwa ndani
Sio tu kuiminya kwa ndani yaweza kuwa ipo shida ya mfumo wa uzazi kwa mmoja kati yenu,yaweza Kuwa baba au mama .Ni vyema kutafuta ushauri wa kitabibu kama kweli mmedhamiria Kuwa na familia na bado kubahatika .Ikumbukwe wakati mwingine mmoja aweza Kuwa hahitaji Kuwa na majukumu ya familia bila kumshirikisha mwenzake,sio lazima ikawa hivyo ila pia yaweza Kuwa hamna ukaribu,na hivyo mmekuwa mkikutana muda usio sahihi wa kuweza kupata familia mpya 🤔
 
Basi huyo kama hana shida na wewe upo okay....kuanzia siku ya 11- 18 tangu alipoona hedhi ni hatari kwake....but siku halisi ya ujauzito ni 14+15.... Kula vizuri hasa hasa juice ya tangawizi+ swaumu+ kitunguu maji +{asali, karoti, tikiti na ndizi( optional kwa ajili ya kuweka ladha nzuri,)} brend na unywe pasipo kutupa kitu kwa siku hizo 13..... Kuanzia day 1 mpaka day 13 usimguse, tumieni hiyo juice inarekebisha homoni zenu na kuboost sperm...punguza wanga , usiupe mwili kazi ngumu zaidi ya kawaida....then siku ya 14+15 Siku hizi hakikisha amelala chali hata uweke mito kiunoni ili ajiinue uke ukae katika shape ya kukombe.( Kama alivyoshauli ndugu _Flames )..shahawa isitoke nje! Pambana muijaze dunia!
Je kwa wale wa siku 25
 
Back
Top Bottom