Hakikisha hatumii dawa zozote za kuzia mimba,pia hakikisha mnafanya mapenzi siku zake za hatari,fuatiria mzunguko wake ujue,pia hakikisha kwenye siku za hatari una sex kwa kuruka siku moja moja,muweke staili ambayo shahawa zitaingia karibu na mlango wa mimba na baada ya sex ajitahidi asiende kunawa ndani ya nusu saa.
Usipanie sana relax jitahidi kula vyakula vyenye protini kwa wingi na matunda bila kusahau maji ya kutosha,pia hakikisha mwezio amepata ule ute wa mimba hua unafanana kama ule ute mweupe wa kwenye yai la kuku.