Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran sana boss wangu Bless nyingi kwako🙏Mkuu jambo la kwanza fahamu mzunguko wake wa hedhi una siku ngapi (unaweza kumuuliza). Kikawaida wanawake wengi ni siku 28, ukishapata jibu mfano shemeji ni siku 28. Anza kuhesabu siku ya kwanza anaingia hedhi, ikifika siku ya 11 mpaka 18 hizo ni siku zake za hatari (za kushika mimba) hivyo loweka kila siku au kwa kumpumzika siku moja moja.
UTAKUJA KUNISHUKURU BAADAE.
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida.
Nawaza labda naeza kwenda kujaribu kwa mwanamke mwingine kisha inase na sipo tayari kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya huyu.
Kama kuna utundu mwingine ambao unafanyika wakati wa kumpa mwanamke mimba basi nijuzeni wakulungwa.
Unampanda amekuwa jike la ng'ombe?hapo ndipo unapokosea ,rekebisha Hilo then mambo yatatikKama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida.
Nawaza labda naeza kwenda kujaribu kwa mwanamke mwingine kisha inase na sipo tayari kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya huyu.
Kama kuna utundu mwingine ambao unafanyika wakati wa kumpa mwanamke mimba basi nijuzeni wakulungwa.
Pamoja Mkuu. Nimekua nikiitumia hiyo njia (kumpa mimba au kukwepa nisimpe mimba mchumba) na haijawahi niangusha 100%.Shukran sana boss wangu Bless nyingi kwako🙏
Naongezea ukipata izo siku kama ni 28 gawa kwa 2 utapata 14 kwaiyo mwanamke wako atashika mimba siku ya 14 tangu uone tone la damu.Ila pia kuanzia siku ya 12,13 Atlanta pia maana yai la mwanaume linaishi masaa 72 pia siku ya 15,16 atapata pia mimba.Mkuu jambo la kwanza fahamu mzunguko wake wa hedhi una siku ngapi (unaweza kumuuliza). Kikawaida wanawake wengi ni siku 28, ukishapata jibu mfano shemeji ni siku 28. Anza kuhesabu siku ya kwanza anaingia hedhi, ikifika siku ya 11 mpaka 18 hizo ni siku zake za hatari (za kushika mimba) hivyo loweka kila siku au kwa kupumzika siku moja moja.
UTAKUJA KUNISHUKURU BAADAE.