Wanaume wenzangu njoo mnifundishe tabia ya kutojibu message kwa wakati.

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Licha ya kuwa busy na majukumu ila siwezi kuona message ya mtu alafu nikaamua kukaa kimya bila kujibu.

Yamegeuka madhara kwangu naumia sana pale mtu napomtumia message alafu achele kujibu.

Wanaume wenzangu naomba mnifundishe tabia ya kujifanya nipo busy
 
Hapana kuwa ulivyo ila usitegemee kufanyiwa kama unavyofanya,wanawake wengi wanauwezo wa kufanya mambo mengi wakati mmoja wanaume sisi tunazingatia jambo moja kwa wakati ..ni hayo tuu kujibiwa haraka sio kipimo
 
Kwaiyo na mimi nifanye nini ili angalau kuonekana niko busy na mambo yangu maana nimezidi sasa kuwa nice Guy
 
Mimi najibu txt kulingana na kilichoandikwa.

Jamaa anakutumia oyaah sasa hapo lazima uwe unamjua huyu side atakuwa na jambo hawezi nichek tu bila sababu.

Msg za mademu Huwa sijib Kwa wakt na Kisha namjibu badae kuwa nilikuwa busy sitoi maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom