win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
daslam ishakuharibu na wew wamekuingiza kwenye utapeli wa ramli😏Nakuona kama mtu mwenye hasira za karibu sana kwasababu sio kawaida kuumizwa na vitu vidogo kama hivyo.
Pia utakuwa unaumia ukinyimwa salamu, ama ukicheleweshewa huduma kidogo nk. Nakosea?