Wanaume wenzangu njooni tuongee:- Mnawezaje kuishi na wanawake wenye midomo?

Kiasilia mwanamke aliumbwa kuwa muongeaji kuliko Mwanaume.

Nenda kwenye nyumba ambazo wanawake sio waongeaji uone kulivyoboeka.Kwanza ukitembelea mwanamke asiye muongeaji utahisi Kama amekudharau ama hajafurahia ujio wako coz atakuwa Hana shobo Wala story na wewe.
 
Kuna rafiki yangu mmoja huwa ananiambiaga bora aolewe na mwanaume anayepiga kuliko mwenye GUBU anasema GUBU linakondesha.

Pia kuna baadhi ya wanaume tunamagubu mwanamke hagusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Nina watoto wawili.
Naipenda sanaa familia yangu
Me as the father + my children.
Au familia kwako ni nini?

#YNWA
Kwa mdomo huo wa lop lop ulionao..maana unaongea mpaka kuwazidi hao wanawake unaowalalamikia..kupata mwanamke wa kukuvumilia labda ashushwe mbinguni..endelea kuishi peke ako MWANAMKE WA KUKUVUMILIA WEWE HAYUPO..Happy SundayπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Yani kifupi na wewe una mdomo. Kuandika yote haya si mchezo. Nachoamini wapo wasio na midomo pia. Ila ukitaka kuishi nao vyema tekeleza wajibu wako
πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Jamaa anazungumzia wenye mdomo tofautisha hayo mambo mawili mkuu
 
Kiasili wanaume/waume tumeumbwa tupewe heshima na wake zetu

Kwa hiyo mwanamke akiwa ana mdomo mrefu kwa mume/mwanamume wake, tafsiri ni kuwa amuheshimu mume wake

Mleta uzi ameongea kiume sana. Mwanamke kukupigia kelele ni ishara hakuheshimu


Na nyie wanawake mmeumbwa muonyeshwe upendo na waume/wanaume zenu. Na ndio maana mwanamume akizingua kauli yenu "najua siku hizi hunipendi/umenichoka"
 
wewe una bahati umepata mwanamke mwenye mdomo, omba usipate mwanamke mkimya mwenye kiburi utajuta.

halaf unaonekana incomplete man! you can't be serious, yaan mdomo wa mwanamke unakupa shida? aisee haiwezekani huo tayar ni udhaifu yaan hata handwrite yako inaonyesha wew ni mwanaume wa hovyo.

kumbuka wewe ni kiongozi kwenye hii dunia, mwanamke hatakiwi kuwa na mdomo mbele ya mwanaume, ts obvious wew ndo unalea hayo matatizo halaf unakuja na nini hapa[emoji51] broh acha kutanguliza papuchi mbele ukaacha uwanaume wako nyuma hiyo ni dhambi kubwa sana.

ongea kauli moja tu baada ya hapo kinachofata ni vitendo, piga chini, chukua pisi nyingine ikizingua piga chini, pisi ikusikilize, usiisikilize pisi.

kuwa mwanaume kweli bro.
 
Nitaweza kuvumilia makelele ya mashine ya kusaga nafaka ila sio makelele ya mwanamke mdigo [emoji119]. Wana kauli chafu asee nitakuja tia mtu ulemavu.
hao ukijibizana nao ndo matokeo yake unapiga, unaua au kama ulivyosema, ulemavu siyo kitu kizur[emoji3]

akizingua fungulia mlango tupa nje hata kama ni saa 8 usiku.
 
Utajiju,wanawake ndo tulivyoumbwa hatuwezi kukaa na kitu rohoni tofauti na nyie na ndo maana mnakufa sana,
Binafsi huwa sio muongeaji ila nikikasirika nitaongea siku nzima,mmewangu ashanijua ananiplease na kama kuna kosa atajishusha.
Wewe kwa staili hiyo kaa mwenyewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…