Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Utamlaje denda sasa? 😅Huyu hapa hana mdomo atakufaaView attachment 2621851
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamlaje denda sasa? 😅Huyu hapa hana mdomo atakufaaView attachment 2621851
Dawa ya muongo ni kuwa muongo zaidi yake 😅Hapana ila waongo utadhani ndiyo nimelogewa hapo na nisivyopenda uongo huwa nateseka sana 😅😅😅
Siku moja moja akivuka mipaka unamtuliza na kibaonachukia sana hali hiyo ila tunaishi nao kwa akili.
Silaha ya mwanamke ni mdomo.
unamuwamba ukofiSiku moja moja akivuka mipaka unamtuliza na kibao
Unamkumbusha tu kuwa yuko na naniunamuwamba ukofi
ata wazungu wapo wa hivyo nao ni waswahili?Hao ni waswahili sasa,
Kuna ile ya uswahili kuzidi,na kuna ile ni nature ya mwanamkeata wazungu wapo wa hivyo nao ni waswahili?
ni tabia ya mtu tu
hiyo hiyo nature ila kuna wengine wamezidi kiwango cha natureKuna ile ya uswahili kuzidi,na kuna ile ni nature ya mwanamke
Niko mwenyewe tokea nianze kukaa gheto 2011 na mpaka leo NIKO MWENYEWE.Utajiju,wanawake ndo tulivyoumbwa hatuwezi kukaa na kitu rohoni tofauti na nyie na ndo maana mnakufa sana,
Binafsi huwa sio muongeaji ila nikikasirika nitaongea siku nzima,mmewangu ashanijua ananiplease na kama kuna kosa atajishusha.
Wewe kwa staili hiyo kaa mwenyewe tu
wewe una bahati umepata mwanamke mwenye mdomo, omba usipate mwanamke mkimya mwenye kiburi utajuta.
halaf unaonekana incomplete man! you can't be serious, yaan mdomo wa mwanamke unakupa shida? aisee haiwezekani huo tayar ni udhaifu yaan hata handwrite yako inaonyesha wew ni mwanaume wa hovyo.
kumbuka wewe ni kiongozi kwenye hii dunia, mwanamke hatakiwi kuwa na mdomo mbele ya mwanaume, ts obvious wew ndo unalea hayo matatizo halaf unakuja na nini hapa[emoji51] broh acha kutanguliza papuchi mbele ukaacha uwanaume wako nyuma hiyo ni dhambi kubwa sana.
ongea kauli moja tu baada ya hapo kinachofata ni vitendo, piga chini, chukua pisi nyingine ikizingua piga chini, pisi ikusikilize, usiisikilize pisi.
kuwa mwanaume kweli bro.
Na ukute ana kiredio chake ndani saaafi kabisa, anawahadaa wenzie.
Hujawahi kukutana na mdomo wewe..!!!Pole sana, mimi napenda mwanamke awe mkorofi au napenda mwanamke mkorofi...
Hujawahi kukutana na mdomo wewe.Mdomo unavumilika kuliko mwanamke muongo na Malaya
Mbona umeiweka sanaa personal.Kwa mdomo huo wa lop lop ulionao..maana unaongea mpaka kuwazidi hao wanawake unaowalalamikia..kupata mwanamke wa kukuvumilia labda ashushwe mbinguni..endelea kuishi peke ako MWANAMKE WA KUKUVUMILIA WEWE HAYUPO..Happy Sunday🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋👋👋
hakuna kitu kama hiyo mkuu, hii platform ni huru, lazima tuambiane ukweli kwa namna yoyote, nguvu ya mwanaume inakufa day after day kwann tusiambiane ukweli?""halaf unaonekana incomplete man!""
JF is full of Fake IDs
Usiwe unaandika kwa kuwa-attack.
Toa mawazo yako bila ku-attack mtu kwasababu huyo unaye m-attack HATA HUMJUI.
#YNWA
Amen.hakuna kitu kama hiyo mkuu, hii platform ni huru, lazima tuambiane ukweli kwa namna yoyote, nguvu ya mwanaume inakufa day after day kwann tusiambiane ukweli?
halafa kama ni mawazo nimeshatoa, rudia post.
Mashindano kama haya ya nini? Raha yake ni nini? Ni afadhali usiwe kwenye mahusiano ili. Kuepuka kero kama hizi.Dawa ya muongo ni kuwa muongo zaidi yake 😅
💯🤝Simama na Kataa ndoa nitakusapoti.
😅😅😅 Uongo kipaji ndugu yangu. Dah Kuna vitu mtu anasema uongo ilihali ukweli unajua , yaani unabakia hiiiiiiiii na kumuona kama mbuziDawa ya muongo ni kuwa muongo zaidi yake 😅