Wanaume wenzangu njooni tuongee:- Mnawezaje kuishi na wanawake wenye midomo?

Wanaume wenzangu njooni tuongee:- Mnawezaje kuishi na wanawake wenye midomo?

sijui kwanini huwa hivyo na kwa wanaume wale wapole hupata wanawake viropo na wakorofi mno
Yani we acha tu yani unakuta mkaka wa watu ni mpole Hana baya na mtu,anajitambua,anajua wajibu wake kwa mke,muumini mzuri kwenye dini,lkn hako kamama alikokapata kutwa kucha ni kelele na mdomo,huku anaagiza tu baba nani,uje na nini sijui nataka shopping ya laki tatu[emoji1][emoji1],utafikiri Hela anajua kuzitafuta kumbe mwenzie anapambana,na akirudi kazini anakutana na maswali mlangoni kwa nn umechelewa ulikuwa wapi,badala ya kusubiri kwanza mtu apumzuke umuulize kwa utaratibu.

Sometimes kweli sisi wanawake tunakera,hatuwahurumii wenzetu wanaohangaika kwa ajili yetu
 
😀😀😀😀😀 yaani tena huyo mama wa second born wako ndo amafaa

Usikate tamaa wapole wapo
Na miaka yangu hii 33 nilishawahi kuwa na urafiki na mwanamke mpole mmoja tu, na yule alikuwa HIV+.

Hata ule upole wake nahisi ni kwasababu ya hali yake.

Ila ukizungumzia urafiki wa kunyanduana SIJAWAHI KUKUTANA NA MWANAMKE MPOLE(ASIYE NA MDOMO).

#YNWA
 
Kuna mtanga nlikutana nae jkt mujibu wa Sheria, baadae tukakutana chuo tukawa marafiki mwisho wa siku tukadate aisee alikua muongeaji demu lomoni kibao.....

Nlimcheat akajua, baada ya pale mda wa show nilikoma nikimuweka style ya hv ananambia ndo mchepuko anakupaga hvo ee! Kila nikijaribu kufanya kitu kipya nsimangwa!
Nikakimbia ya nn mie
 
Binafsi,Kama mwanamke huwa namuelewa Sana Mwanamme anayenisikiliza......na Kuna baadhi yenu mbarikiwe Sana ni wasikilizaji wazuri saana...Kama wewe umegundua Hilo tayari basi wifi anaenjoy tu
Unamsikilizaje na huna pesa, ye anataka pesa
 
Yani we acha tu yani unakuta mkaka wa watu ni mpole Hana baya na mtu,anajitambua,anajua wajibu wake kwa mke,muumini mzuri kwenye dini,lkn hako kamama alikokapata kutwa kucha ni kelele na mdomo,huku anaagiza tu baba nani,uje na nini sijui nataka shopping ya laki tatu[emoji1][emoji1],utafikiri Hela anajua kuzitafuta kumbe mwenzie anapambana,na akirudi kazini anakutana na maswali mlangoni kwa nn umechelewa ulikuwa wapi,badala ya kusubiri kwanza mtu apumzuke umuulize kwa utaratibu.

Sometimes kweli sisi wanawake tunakera,hatuwahurumii wenzetu wanaohangaika kwa ajili yetu
upo sahihi kabisa ndio maana tunapaswa kuishi nanyi kwa akili vinginevyo unaweza jikuta jela. Kuna jamaa yangu mke wake ni mlalamishi sana hana jema wala zuri hata kidogo kutoka kwa mumewe, mumewe mpole anatekeleza kila atakachoagizwa ila bado mwanamke mdomo haukomi, huwa najiuliza hivi alimpendea nn mtu mlalamishi kiasi hicho? Ingekuwa ni mimi ningeshamuacha mda sana.
 
INTRODUCTION:-
Nikiwa kama kijana mkataa kuoa, moja wapo ya sababu inayonifanya kugoma kuoa ni MDOMO wa MWANAMKE.
Aisee hawa ni mama zetu, dada zetu, binti zetu, shangazi zetu ila WANA MIDOMO AISEEE.

SCENARIO:-
Jana ofisini (halmashauri) kulikua na mfululizo wa vikao.
Kilianza kikao cha Finance, ikaja taarifa za kata na mwisho kikao cha majibu ya hoja.
Kifupi siku ilikua bizee na mwili ukachoka sanaaa.
Sasa kufika ile saa 3 usiku ikawa niko vibaya na uchovu, nikaona Bora nikanunue chakula nile then nilale.
Katikati ya usingizi akapiga simu sista wangu, nikaona anazingua nikakata simu nakuweka silence.

Nikajinyoosha kitandani mpaka asubuhi ya Leo.

Sasa ile naamka nakuta missed call za pisi moja nayoichakata zimejaa kibaooo.

Nikasema "nimpigie" bwanaa eeeh ile kumpigia "Niliambulia maneno mengi ya kushushuliwa kwanini sipokei simu"

Sina shida na hisia zake "yupo sahihi" kwamaana hakua na taarifa na kikao au chochote cha kazini, ila Nina shida na mdomo wake ""kwanini aongee yote yale tena kwa kunichamba?""

FLASH BACK.
1. 2014 nilishawahi "date" na mdada mmoja wa kitanga (mdigo) aisee yule dada alikua ni ustadhati kweli.
Yaani ukimuona hivi utasema "mke ndio huyu" mtoto anaijua kujisitiri kwa mavazi na muonekano ila bana mkiwa ndani "Ana mdomo huyoooo"

2. Ukweli kabisa second born wangu nilianza kukataa tokea mimba yake, na sababu ni mdomo wa mama ake.
Huyu mwanamke ni WA Tanga na ni mdigo.
Kuna muda anaongea mambo mpaka unahisi "Kamaanisha au nini?"
Nyie mama wa huyu mtoto wangu wa pili ana mdomo nyiee.
Ole wako ukachelewe kutuma ada eeh unalooo.
Ole wako akuombe hela ya jambo fulani la kuhusu mtoto na umuahidi "nakutumia baadae" halafu Kazi zako zifanye upitiwe, aisee "Utajutaaaa".
Kifupi huyu mdigo ana mdomoooo.
Sasa huwa nawaza "Atakaye kuja kumuoa, ITAKUAJE NA HUU MDOMO?"

3. BINAMU YANGU.
Unakumbuka ile story yangu ya "Uyatima?"
Kwenye ile story kuna yule binamu yangu "alinifukuzaga kwao".
Sasa bana miaka ilivyoenda shangazi yangu/mlezi wangu/mama wa huyo binamu, aliamua kutupatanisha.
Ila tokea tupatanishwe kiukweli sijawahi na siwezi kubond na binamu yangu.
Na hasa lililokubwa ni mdomo wake.
Binamu yangu ana mdomo balaaa.
Kunakuwaga na ile "family reunion" kila December, then huwa nikifika Moshi kwenye hiyo family reunion "Lazima nimkwepe" kwasababu ya mdomo wake mrefuu (maneno mengi).

4. PS WA MKURUGENZI.
PS wa mkurugenzi wetu bana ana mdomo, na siku zotee huwa natumia "tekiniki" za kuukwepa mdomo wake wakati wa Kazi.
Sasa bana juzi "nimeyakanyaga" Kuna jambo nilimwambia dogoo tu kuhusu faili kwenda kwa mkurugenzi, ila yeye alilikuza ile neno, aliongeaaa pale akaona haitoshi, nilivyotoka ofisini akanitumia sms, akaona hajaridhika "akanipigia mara kibao" ila sikupokea.
Huyu dada ni mke wa mtu, sasa huwa najiuliza "nyumbani mumewe ana hali gani?"

THE BIG PROBLEM:-
Yaani nimekutana na wanawake wengi, kazini, mtaani na koteee huko na ni wake za watu + wengine wachumba ila aiseee Wana midomo nyieeee.

Na Mimi kitu ambacho sipendi ni "MDOMO Mkubwa/Mrefu"

Kuna siku riki boy niliona anasema "dawa ya mwanamke mwenye mdomo ni kuondoka ndani akiwa anaongea", Sasa najiuliza "mdomo ukifunguliwa usiku utaondoka uende wapi huo usiku?".

Sikatai kuhusu kukosea, maana Mimi ni binadamu "Nakosea" ila sasa nikikosea "si unieleze neno moja nielewe" sio mdomo mrefuuuuuuuuu mpaka sasa unatoa ile maana ya kunionya inakuwa dhamira ya kunikera.

Nyie.....
MDOMO UNAKERA.

Na kwasababu ya mdomo, acha tu niishi mwenyewe SINGLE BOY.

ANYWAY:-
Tuendelee kutafuta HELA.
Wale wapenzi wa movie za MARVEL na DC, karibuni gheto tucheki movie zote za THOR..!!

MDOMO nyokooooooo.

#YNWA
Yani kifupi na wewe una mdomo. Kuandika yote haya si mchezo. Nachoamini wapo wasio na midomo pia. Ila ukitaka kuishi nao vyema tekeleza wajibu wako
 
Back
Top Bottom