Wanaume wenzangu njooni tuongee:- Mnawezaje kuishi na wanawake wenye midomo?

Niko mwenyewe tokea nianze kukaa gheto 2011 na mpaka leo NIKO MWENYEWE.
Mimi makelele HAPANA KWA KWELI.

#YNWA
 
""halaf unaonekana incomplete man!""
JF is full of Fake IDs
Usiwe unaandika kwa kuwa-attack.

Toa mawazo yako bila ku-attack mtu kwasababu huyo unaye m-attack HATA HUMJUI.

#YNWA
 
Mbona umeiweka sanaa personal.
Mimi na wewe tunashida mahali?

Sasa Kuni-attack hivi umejisikiaje?
Mimi na wewe Kuna shida?

Au navyokataaga ndoa nakuumiza sanaa?

#YNWA
 
""halaf unaonekana incomplete man!""
JF is full of Fake IDs
Usiwe unaandika kwa kuwa-attack.

Toa mawazo yako bila ku-attack mtu kwasababu huyo unaye m-attack HATA HUMJUI.

#YNWA
hakuna kitu kama hiyo mkuu, hii platform ni huru, lazima tuambiane ukweli kwa namna yoyote, nguvu ya mwanaume inakufa day after day kwann tusiambiane ukweli?

halafa kama ni mawazo nimeshatoa, rudia post.
 
Amen.
Kesho kazini.
Usiku mwema.

#YNWA
 
Dawa ya muongo ni kuwa muongo zaidi yake πŸ˜…
Mashindano kama haya ya nini? Raha yake ni nini? Ni afadhali usiwe kwenye mahusiano ili. Kuepuka kero kama hizi.
Simama na Kataa ndoa nitakusapoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…