Hapa sio suala la kuongea Wewe Mbaba Ni wajibu Wenu.Ndo.ilivyo.Unataka hutaki utatoa Huduma.Mwanaume asiyetoa Huduma kwa mpenzi wake anakimbilia kusema anachunwa Huyo Ni Jibu la Usoni.Jiongeze,tafuta pesa zako sio unategemea kuongwa na wanaume.
Amini tu maana hamna namna!Hata kiduchu..🙂
Jaman mbona sijawah mpiga kizinga mwanaume, naweza date nae hata mia nisipewe na siuliz narizika, man najiuliza nipo sayar gan, haaaaaaaaaaaaaa just a jokeNi ngumu bro
Jioni hii tu nimepigwa mzinga nitoe kama 30 hivi
Basi nikazuga nipo safarini na kwenye simu nina kama 15 tu
Unajua ameniambiaje [emoji3][emoji3] rusha hiyo hiyo tu my dear
Nimechoka mwili na roho
Nikweli JamaaUkiona mwanamke hakuhurumii wala kukuelewa ujue hauko moyoni mwake..
bora umwambie ukweli huna aamue kubaki au aende...
Mwanamke akikupenda kweli ataogopa kukupoteza
sio wewe uogope kumpoteza kisa humpi hela kila siku
Pm tuyajenge maana hata mie nimeumizwa sanaJaman mbona sijawah mpiga kizinga mwanaume, naweza date nae hata mia nisipewe na siuliz narizika, man najiuliza nipo sayar gan, haaaaaaaaaaaaaa just a joke
Mama mkwe sikuelewi ujueNa ya mama mkwe iko wapi?
Ndio ufanye hayo mambo ili niwe upnde wako.Mama mkwe sikuelewi ujue
nashindwa kukufanyia
mambo maana sijui
upo upande wangu au???
Kumbe kwa sasa haupoNdio ufanye hayo mambo ili niwe upnde wako.
Yaani ungejua nilivyokupigania hata usingeongea. Huyo mwana asingekuwa wako sasa hivi mbona!!!Kumbe kwa sasa haupo
ila sitaacha kukukubali...
Yaani ungejua nilivyokupigania hata usingeongea. Huyo mwana asingekuwa wako sasa hivi mbona!!!
Akuuu!! Hayo ni maneno yako.Ina maana yupo kwangu
kwa kua mama mkwe
unanipigania?
hii ina maana yeye
yupo tayari kuondoka
hanitaki ila wewe
unapigana abaki?
Akuuu!! Hayo ni maneno yako.
Hamna, anakupenda wewe tu.Mkwe tafadhali
niambie ukweli
kabla sijanoa Sime.
mungu anakuona [HASHTAG]#rubii[/HASHTAG]Wewe ulitaka wakuombe Maji ya uzima wewe Mungu?