Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
Hapa sio suala la kuongea Wewe Mbaba Ni wajibu Wenu.Ndo.ilivyo.Unataka hutaki utatoa Huduma.Mwanaume asiyetoa Huduma kwa mpenzi wake anakimbilia kusema anachunwa Huyo Ni Jibu la Usoni.Jiongeze,tafuta pesa zako sio unategemea kuongwa na wanaume.