Wanaume wenzangu! Tupeane mautundu ya kukwepa Mizinga....

Wanaume wenzangu! Tupeane mautundu ya kukwepa Mizinga....

Jiongeze,tafuta pesa zako sio unategemea kuongwa na wanaume.
Hapa sio suala la kuongea Wewe Mbaba Ni wajibu Wenu.Ndo.ilivyo.Unataka hutaki utatoa Huduma.Mwanaume asiyetoa Huduma kwa mpenzi wake anakimbilia kusema anachunwa Huyo Ni Jibu la Usoni.
 
Ni ngumu bro
Jioni hii tu nimepigwa mzinga nitoe kama 30 hivi
Basi nikazuga nipo safarini na kwenye simu nina kama 15 tu
Unajua ameniambiaje [emoji3][emoji3] rusha hiyo hiyo tu my dear
Nimechoka mwili na roho
Jaman mbona sijawah mpiga kizinga mwanaume, naweza date nae hata mia nisipewe na siuliz narizika, man najiuliza nipo sayar gan, haaaaaaaaaaaaaa just a joke
 
Ukiona mwanamke hakuhurumii wala kukuelewa ujue hauko moyoni mwake..
bora umwambie ukweli huna aamue kubaki au aende...

Mwanamke akikupenda kweli ataogopa kukupoteza
sio wewe uogope kumpoteza kisa humpi hela kila siku
Nikweli Jamaa
 
Jaman mbona sijawah mpiga kizinga mwanaume, naweza date nae hata mia nisipewe na siuliz narizika, man najiuliza nipo sayar gan, haaaaaaaaaaaaaa just a joke
Pm tuyajenge maana hata mie nimeumizwa sana
Bora nihamie airtel
 
Yaani ungejua nilivyokupigania hata usingeongea. Huyo mwana asingekuwa wako sasa hivi mbona!!!

Ina maana yupo kwangu
kwa kua mama mkwe unanipigania?

yaani yupo tayari kuondoka
hanitaki ila mama
unapigana abaki?
 
Back
Top Bottom