WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

Miaka 32 Nani amuoe??. Wanaolewa wa miaka 50 iwe huyu wa 32 msichana kabisa.
Kuanzia miaka 26-33 hapo vijana wengi ndo huoa tena hapo ndo unakuta mabinti wanao olewa range ya miaka yao huanzia 20-28 mwanamke akisha vuka miaka 30 maana ile Ndoto ya kuolewa anze maisha n mme wake inakua imekatika coz kwa hiyo miaka atakubali kuolewa na mwanaume ambaye tiari ana familia au kafuwa na mke wake au kuongezwa mke wa pili tofout na hapo labda huyo mwanaume alichelewa kuoa issues malumu na hata akichelewa atatafuta wenye umri mdogo.

Nevertheless, Kila mtu ana Neema katka maisha yake Mungu amsaidie apate mtu sahihi ila kuolewa na kijana n ngumu sanaa
 
Pole Sana ndugu yangu stori yako ilitaka kufanana na yakwangu japo yangu Ina utofauti kidoogo Mimi niliishi na mwanamke mmoja iv mjita nilibahatika kupata nae mtoto mmoja wakiume tulimlea Hadi miaka mitatu pamoja, picha likaanzia hapo mwanamke akaniambia amepata kazi ambayo kazi hiyo atalipwa laki 3 Hadi 3 na 60 yeye Ni mwalimu wa English Medium, babaake Ni mwalimu,mamaake Ni mwalimu pia,akanambia amepata kazi na mkuu wa hiyo shule Ni babaake Mzazi na nikweli ilikuwa hivyo .. nilimruhusu akaenda tuliwasiliana Ila kwa bahati mbaya Mimi maisha yalikuwa magumu kidogo upande wangu..ilifika wakati nilishindwa hata kutuma chochote kwa familia ikafika wakati nilikuwa nawasiliana na mama mkwe wangu kwakua nilishajitambulisha kwa wazazi tunafahamika, kipindi hicho nikiwa na maisha magumu mama mkwe Kuna wakati alikua alinipigia simu naogopa mpaka kupokea kuhofia ataniuliza mbona situmi chochote?? Ikafika wakati mama mkwe akampigia mama yangu Mzazi simu na kumlalamikia Mimi kutokupokea simu zake na neno la mwisho alimwambia mwambie mwanao atafute mwanamke mwingine aoe ...Baadae nilimtafuta mama mkwe nikazungumza nae na kumuelewesha Hali halisi lakini alionyesha kutonielewa sababu zangu za Hali ngumu, baadae Mzazi mwenzangu alinitafuta na kuniambia anahitaji ndoa, yeye na mwanangu wananipenda Sana Ila baada ya muda mfupi Sana nikamwambia bas Rudi tuishi wote Kuna namna nimejiongeza nimejiajiri Kuna kipato nakipata kwa Sasa, Ila chaajabu kwa muda huo mfupi mwanamke aliaanza kubadilika akawa na kiburi chaajabu majibu ya shortcut,nikala block Facebook,na whatssup Mara whatssup akaniunblock, nk.nilianza utafuti wangu taratibu tik Tok nikagundua Kuna jamaa mmoja anawatoto watatu ana gari Ni game ranger huyo jamaa na amejenga nyumba mpya ndo anahamia kumbe huyo jamaa amemshawishi Mzazi mwenzangu kwamba anamuoa amepiga picha anampost mzazi mwenzangu wakiwa wameshikana pamoja.wanapigana mabusu ya emoj nilipoonyesha kulitambua Hilo na kumbemveleza mzaz mwenzangu she tufunge ndoa alinijibu kwamba tumlee tu mtoto Mimi na yeye haikupangwa kuwa pamoja sababu nilimtelekezea mtoto kipindi chote kwaiyo ameamua kuishi na mwanaume mwingine na mwanaume huyo amemuelewa na anafahamu kwamba Mzazi mwenzangu anamtoto so amekubali kumuoa hivyo hivyo... So Wana jf naombeni pia mnishauri namimi kupitia stori yangu Hii ninini nifanye maana ninembembeleza Sana anirudie Ila unaonyesha ameingiwa na tamaa za Mali za yule jamaa game ranger??!πŸ™
 
Hujakosea uandishi, umekosea ulichomfanyia mwenzio siyo kizuri, kwanini haukutumia kinga? Jitu la chuo kikuu unarisk maisha yako ya kiafya kipumbavu namna hiyo ungepata homa ya ini au HIV ungesemaje? Sasa kama upo chuo kikuu halafu unakuwa na maisha ya hatari hivyo, vipi ndugu zako walioishia darasa la saba walio kijijini wanaishije ?

Cha pili kwanini haukumuoa uliyezaa nae?
 
Haikuwa riziki we tafuta tu mwanamke mwingine uoe.....ila this time hakikisha una hela nyingi kabla ya kuoa
 
Pole sana
 
Atapata tu wa kuwa naye ambaye atampenda kwa dhati. Tatizo anakosa kuwa muwazi anapoanzisha mahusiano. Mimi huwa sifichi, nasema kabisa niliolewa na tukaachana. Ukweli humuweka mtu wazi.
 
Hili swala la mimba za ujanani hata mm linanitesa mno

Namm nimefanya tukio Kama lako tu umeniaribia mfumo wangu wote wa maisha
 
Sahih kbsaa mkuu
 
Pole sana,ukiwa nje ya mahusiano ni vigumu sana kujua tabia za wanawake,ila unapoanza tu kuingia kwenye mahusiano ndio utajua,ndio maana wale wasio na mahusiano rasmi huwa wakianza tu baada ya muda unakuta kaamua kuachia ngazi,utasema ngoja nijaribu mwingine utakuta naye ni wale wale,mwisho wa siku unaweza hata usioe.Kikubwa sana tunachokosea ni kutokumshirikisha Mungu tunapotafuta wenza wetu, na kwa jinsi hiyo wengi tumeangukia kuwa na watu wasio sahihi na kujikuta tunalialia kila wakati.Tamaa ya macho ndio huwa inatuponza na mwisho wa siku ni maumivu.Usifikiri wife materials hawapo lakini unakuta hana ule mvuto wa nje ambao wanaume wengi tunapenda wawe nao,unaanza kujiuliza watu watanionaje nikiwa na huyu.Ndoa nyingi unazoziona rafiki ni tiamaji tiamaji,wanaishi kwa kuvumiliana tu kwa kuwa tayari kuna watoto.Kwahiyo isikilize nafsi yako,unaweza kukuta Mungu anakuepusha na jambo baya vilevile....
 
Wanawake bhn,tukiwaambia hamuwezi kukaza mnakataa nini sasa??? Sa mtoto kakaza weeeeeh mwisho mwenyewe kaachia..FEAR MEN
 
Ushauri mzuri,mleta mada zingatia huu ushauri
 
Kwani alimbaka buana??si alienda mwenyewe aliwe
 
MIMI NAJUTA NILIPOPATA MILIONI 472 CASH KWENYE MABEGI BAADA YA MABOSI ZANGU WA KICHINA KUVAMIWA NA MAJAMBAZI TULIPOKUA LODGE MKOA FLANI HV WENYE KUCHIMBA MADINI..SASA KATIKA HARAKATI ZA KUJIOKOA WACHINA WAKATUPA BAADHI YA MZIGO YAO NYUMA YA LODGE KUPITIA DIRISHANI ILI KUJIOKOA WASIPORWE......
MM NIPO NYUMA YA LODGE VYOO VYA NJE KARIBU NA BAR YA NJE PALE LODGE NAKUTA MABEGI MAWILI YA BOSI WANGU YAPO AFU WATU WOTE WAMEKIMBIA KUOKOA MAISHA YAO.......
NIKAICHUKUA NA KUYAIFADHI NA KUYARUDISHA KWA BOSI BILA HATA KUYAFUNGUA..NDIPO BAADAE BOSI AKASEMA KUA ALIYARUSHA KULE NYUMA SABABU KULIKUA NA HELA.......
NIKAAMBULIA MILIONI 7 KAMA ASANTE,,,,,
 
Naomba Mungu tu azidi kunisimamia.
Honestly mpaka hapa kwa umri huu wa utu uzima, sina majuto serious ya kuniumiza moyo wangu. Sina kwakwel. Inawezekana ndio sababu sijatajirika bado maana kila hatua yangu iko too much calculated. Huwa naishi kwa concept ya kuogopa sana sana kumsababishia mtu mwingine maumivu. Naogopa sana kuwaumiza watu kwakwel.
 
Muoe awe mke wa pili,maana mateso anayoyapitia wakati wewe ndio chanzo daima hayata kuacha salama. Lkn pia kuteseka kwa huyo mzazi mwenzio kutamfanya apoteze ramani kabisa ambapo mtoto wenu ndiye atakaye kuja pengine kuyatatua na iwe unajua ama bila kujua lazima utashiriki kuyatatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…