GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wanachokimaanisha hapa hawa Wanawake si hasa hayo Maneno Manne tajwa hapa katika Kichwa changu cha Habari bali ukitaka kujua / kukijua kile wanachokimaanisha hasa nakuomba chukua kila Herufi za mwanzo za hayo maneno yaani katika Care chukua herufi ya mwanzo ya C, katika Antettion chukua herufi ya mwanzo ya A, katika Support chukua herufi ya mwanzo ya S na katika Honesty chukua herufi ya mwanzo ya H kisha nitakuomba Wewe Mwanaume uliye hapa JamiiForums na utakayesoma huu Uzi unitajie Neno Kuu ambalo utalipata kutokana na Kuunganisha hizi Herufi zote za mwanzo.
Shikamooni Wanawake wote duniani. Wanaume tutafute tu Fedha hawa Viumbe hawatupendi bali wanapenda Hela.
Shikamooni Wanawake wote duniani. Wanaume tutafute tu Fedha hawa Viumbe hawatupendi bali wanapenda Hela.