WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

1.DHARAU KUKOSA HESHIMA-asiyekuheshimu mwenye kukudharau(mdogo wangu alikuwa mahisiano na mwanamke mrombo mmoja mwenye hii kitu ,alimuacha)..mtu anakwambia sijui ilikuwaje mpaka nikazaa na wewe,sijui ilikuwaje mpaka ukanipata mimi hivi siku hiyo

2.KIBURI--(JEURI mdogo wangu aliwahi kuwa na mwanamke mrombo mmoja mwenye hii kitu ,alimuacha ,)


3.KUKOSA SHUKRANI,ungrateful..haridhiki hata umfanyir nini,kadiri unavyojitoa kwake kwa hali na mali,kwake na familia yake ndivyo anavyozidi kukuona mjinga.

4.KUKOSA UPENDO kwako na kwa MAMA YANGU...asiyemuheshimu na kumpenda mama yangu mzazi,..asiye na upendo kwako..kila siku anamzungumzia x wake,kwamba x wake alikuwa tajiri anampa fedha nyingi kiliko wewe,wewe huna pesa za kumuhudumia kama X WAKE ,kumuongelea x wake,.

5.UMALAYA KUKOSA UAMINIFU,UZINZI

VITU VINAVYOFANYA NIMPENDE MWANAMKE
1.UPENDO WA KWELI..mwanamke akikupenda she loves for REAL( when a woman love) na upendo kwa ndugu zangu ,
2.HESHIMA NA
3..UNYENYEKEVU
4.UAMINIFU mwanamke asiye malaya ,asiye muongo,mwenye hifu ya Mungu,

bonus ,sifa za ZIADA
5.mwanamke mpambanaji/superwoman,mpenda maendeleo.
6.mwanamke wa IBADA prayer worrier,mwenye hofu ya Mungu
7.ordinary..mwanamke asiyependa makuu..simple..hata kama ana fedha anaji keep simple ..SIO ZUZU,sio limbukeni,sio mswahili,sio mtu wa kutekwa na mambo ya duniani..asiyetaka kupitwa na kila fasheni.
8.BAJETI...mwanamke anayejua ku bajeti matumizi..economic..ASIYE NA MATUMIZI MAKUBWA KUPITA KIPATO.
anayefukiria maendeleo..sio anasa za dunia.,asiye na marafiki mashangingi,asiye ambatana na marafiki wabaya,aliye na circle ya watu smart ..
 

Attachments

  • 1779626230485.jpg
    1779626230485.jpg
    97.9 KB · Views: 19
  • 1779626215709.jpg
    1779626215709.jpg
    306.3 KB · Views: 19
Sidhani ni namna unavyokuwa una mfeel,, mimi naamini hisia zangu hata sitaki wanisogelee
Ok Comrade.. TUKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA..
Kuna baadhi vitu wanapenda wengine hawapendi..

Mfano Mwanamke anayekuwa na restrictions kwenye sex pia ni Turn-off, mfano mtu hapendi umshike Wala kunyonya matiti, hapendi Romance/Denda (anasema uchafu), hapendi umchezee Wala kumnyonya ****/Uchi, hapendi anal fingering (fingering only sijamaqnisha kwa Mpalange msije nishambulia wadau), hapendi baadhi ya style mfano kuikalia Wala Doggy style huyo ni bonge la Turn-ofd kwangu..
Pia awe hapendi Blowjob, Daah huyo kwangu nae Big Turn Off 😡😡😡😡
 
Back
Top Bottom