mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Hawa ni wazuri sana mkuu. Wanakuwa wagumu kwa wapita njia tu ila wakifika kwako mzee wa kazi wanakuwa wapole.anayejikuta ni mgumu, mwanamke akae kiuanawake, ongea tembea, awe mrembo kiasi
Anakuwa demu + mshikaji wako.