WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

Ngoja siku na mimi nikiwa na mpenzi nitakuja kutoa ya moyoni... Ila mwanamke anayenuka jasho jasho 😖 mh hapana kwa kweli... Mimi ninuke jasho , na mwanamke anuke jasho dah! Hapana .
Kusema ukweli hizi nywele wanazosuka akina dada siku hizi ,sijui Brazilian hair,mara Peruvian hair .....☠️☠️💀💀 Anyway acha nisimalizie
 
Kunifundisha majukumu yangu.. (Naelewa nachofanya)

Kauli... (Kuna kauli fulani ukiongea tu najua ni redflag hii)

Uvivu wa kijinga.. (Kuna mmoja alikuja geto.. kalala asubuh nimeamk wa kwanza namuandalia chai yeye kalala tu hata ashtuki.. nimemtengea kitandani.. akala.. vyombo kaniachia)

Kutanguliza pesa mbele.. (Mwanamke mkimya ambae haombi ombi hela huwa anakula hela zangu sana , kuliko mjuaji/ombaomba)
Namba Moja..🙄🙄🙄
 
Yeah..

Unakuta Manz ananielekeza namna ya kumpenda / kumhudumia.. et uwe unanip hela ya this and this.....

Unajua kuna Wanawake wana akili ndg sana.. mie huwa nauliza tu, je wewe ukitoa sex unanipa nini au unaongeza nin ktk maisha yangu? Majibu hakuna.
Basi tajiri siku ya kwanza mpe hivyo vigezo vyako..maana wengine hawayawezi.
 
Miaka flani nilikutana na mwanamke mzuri sio kidogo, ilikuwa ni sehemu nimeenda kupata msosi, yeye kakaa meza ya mbele peke yake, anasubiri oda yake, nikajikaza kiume, nikamfuata.

Oda yake ikaja, yangu ikafuata, tukaendela kupiga stori huku tunakula. Basi ijabu ikafuata, amemaliza kula, amekuja mhudumu kumnawisha, si akamwambia anahitaji "Ashtray". 😊

Kumbe demu anavuta sigara, akatoa pakti la sigara embassy akawasha. Nikasema kimoyomoyo enhee, hii mpya. 😁

Sitaki kusema nini kilifuata, ila mood yangu ilikata pale pale wazee. 😊
 
Back
Top Bottom