ebro jerry
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 354
- 657
Nimekuelewa..mimi ugumu naousemea sio wa kuingilika ni ule wa kimwonekano, kama anataka kila kitu awe like a man, ila unakuta mdada ana base ila she sounds kiuanawake ama anatembea kwa kudunda ila ana sauti ya kike
me nasemea zaidi hao wanaojiona washkaji wenzetu
Wengi sana hujikuta ni wasagaji..
Na Moja Kati ya Factor kubwa ya mapenzi ya jinsia Moja, ni kwamfano mtu mwenye Swagger kupenda sana Kijihusisha na michezo/Career ambayo nature yake ni ya kiume mfano ya kutumia nguvu kama Soccer ⚽, Basketball n.k hujikuta wengi ni wasagaji kwasababu Psychologically na naturally ni ya kiume kwa hiyo anajikuta anakuwa na mahusiano na wanawake wenzake..
Sio wote ila kwa asilimia kubwa (Wengi ni mashahidi hata kama hawajitangazi hadharani lakini tunajua wanamichezo wengi wa michezo hiyo ni Wasagaji)
Vivyo hivyo hata kwa wanaume wanaojihusidha na masuala ya mitindo/Modelling na wabunifu wa mitindo nao hujikuta wengi ni mashoga kwasababu mambo ya mitindo naturally ni ya wanawake kwa asilimia kubwa..
Sio wote, lakini kwa asilimia kubwa chinguza vizuri kwa wakati wako utakuja nipa majibu..
😂😂😂na wewe unajiweka kigumu?