WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

Ah hapo anakuwa hajitambui, Au unamuita mtoko anakuja na vitabia vyake vya uchochoroni huko, mtoko n sehemu special hasa ikiwa ndo mtoko wa kwanza so unajiandaa unakuwa tofauti na ulivyo.
CF4EFB98-EA91-4DD1-95BB-BDDFFFB17C7A.jpeg

Humu tuu
 
Mm ndo mana najionaga bado mshamba sana wa sex, h ishu sijawah kukutana nayo na mademu niliopita nao n wa kawaida mno, hakuna wa kishua hata mmoja.
Wanaume Tunavumilia mengi , unakuta mtu ananuka chiu alf kakomaa anataka doggy style kafungulia exhaust yote puani kwako 🤮🤮 mbaya zaidi hakojoi mapema acha niishie hapo ndugu mjumbe
 
Unamjuaje huyo? Maana kila mtu zna namna yake ya kusema fulani ni malaya
In short unakuta mwanamke flani unawajua personally wanaume wanne/watano/sita washamla... Hiyo kitu binafsi inanikata sana,... Bora km analiwa somewhere it's okay maana sijui, huyu km nawajua personally watu watano waliomla vp kuhusu nisiowajua ambao ni possible watakua ni wengi.
 
Back
Top Bottom