WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

Ni bless Kwanza 😎
1779631417333.gif
 
Kikao kijacho inabidi tujadili vitu gani ni Common kwa wote? Kwa sababu mfano watu wamesema wenye vitambi, vinyweleo na wanuka kitilapia sio vitu vyao lakini mimi nikiwa na demu wa hvo bado wavunjakuni wanamshona kama kawaida.
ndio kae kikao upya maanaa hamjawahi kueleweka! mtu anaoa mali safi hata harufu ya asili haina lakini anapita na beki3 asiyeoga vizuri..:CATLUL:
 
Back
Top Bottom