Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Njoo chukua,usikimbie tu!Hiyo hiyo uliyonayo naitaka 😎
Njoo chukua,usikimbie tu!Hiyo hiyo uliyonayo naitaka 😎
Ntavumilia 😂
Umeandika upuuzi mwingi sana mdauOk Comrade.. TUKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA..
Kuna baadhi vitu wanapenda wengine hawapendi..
Mfano Mwanamke anayekuwa na restrictions kwenye sex pia ni Turn-off, mfano mtu hapendi umshike Wala kunyonya matiti, hapendi Romance/Denda (anasema uchafu), hapendi umchezee Wala kumnyonya ****/Uchi, hapendi anal fingering (fingering only sijamaqnisha kwa Mpalange msije nishambulia wadau), hapendi baadhi ya style mfano kuikalia Wala Doggy style huyo ni bonge la Turn-ofd kwangu..
Pia awe hapendi Blowjob, Daah huyo kwangu nae Big Turn Off 😡😡😡😡
Nipigie 😎Njoo chukua,usikimbie tu!
Chap kwa haraka nakuja kubakwa, najua ntakuwa naumia Ila Ntavumilia tuu 😎Inakuwa siri yako tuu! Mkimaliza wanakwambia Mbaga na kesho uje, tukubake. 😊
hizo ni wishful thinking tu, hawataki malaya at the same time hawataki usumbufu,unawaelewa kweli?Duh aiseee! Leo sikuwa na mpango wa kucomment huu uzi….
Kutokutakwa na mwanaume kama wewe ni baraka kubwa sana!
sawa.Nipigie 😎
Duuh, mimi nikiwa sina pesa huwa sitoi mguu wangu hata nje ya mlango! how comes mtu anatoka hana pesa![]()
Yoooo! Aloooo noma kama ndio hivi shangazi yenu niko nimekaa pale! 🤣hizo ni wishful thinking tu, hawataki malaya at the same time hawataki usumbufu,unawaelewa kweli?
Yaani unanitoaje out hujaipanga? unakuwa umechanganyikiwa au, ndiomaana ni boa utoke na akiba yako tu, watu wanumwa akili!Si anakuwa unatolewa outing... kwa iyo anakuwa hana mawazo kama watamuachia msala wa bili. Kama unavyoona wanawake mamafia, na wapo pia wanaume mamafia.
Ila kwa mwanaume mwenye akili timamu, huwezi mwachia mwanamke bili ili adhalilike. Ni upuuzi.
Umeandika upuuzi mwingi sana mdau
Na sabuni imenyooka, hana maringo 🔥Mpenzi wangu ni sabuni tu, kikubwa iwe na povu jingi
Yaani mtu anataka kukubinuabinua tu bila sababu, anakulazimisha kukulambalamba mwili mzima kama mwendawazimu!Yoooo! Aloooo noma kama ndio hivi shangazi yenu niko nimekaa pale! 🤣

Yaani unanitoaje out hujaipanga? unakuwa umechanganyikiwa au, ndiomaana ni boa utoke na akiba yako tu, watu wanumwa akili!
Mbaya zaidi unakuta huyo mwanamke anakuja kuolewa na innocent boy 😭Hao ndio wanaofundishaga wanawake mavitu ya ajabu, na hao ndio wa kwanza kuwahukumu wanawake kwa tabia hizo! Mwanamke unampenda unaanzaje kumpitishia vidole kwenye nanii ya takataka!!!
Mpenzi wangu ni sabuni tu, kikubwa iwe na povu jingi
Ebhanaeee 🥲Mchagua jembe, sio mkulima...😋View attachment 3594247
Sheria mkononi furaha moyoni dronedrakeMbunju, Kiboko, Takasha, Giv, Mshindi. Sabani zetu za kitambo hizo. 😊
Ikifika mwezi wa 9 huna mwanamke, Wanawake wa JF tunakupa mwanamke kwa lazima, usituchezee we mpare!!!!!!Wengine hata hatujui tunataka nn kwa mwanamke, anyway mm nataka ustaarabu tuu.