WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

Mbaya zaidi unakuta huyo mwanamke anakuja kuolewa na innocent boy 😭
Ndo mwanzo wa kuonekana hujui mapenzi, huna nguvu za kiume n.k kumbe n girl mwnyw amezoea mikikimikiki

Ah kudadeki, Sir God naomba uniepushe na hiki kikombe 🙏

Ndio kinachotokea, mwanamke ukikuta yupo namna flani, ujue amewahi kutana na mtu akamfundisha namna hiyo.
 
In short unakuta mwanamke flani unawajua personally wanaume wanne/watano/sita washamla... Hiyo kitu binafsi inanikata sana,... Bora km analiwa somewhere it's okay maana sijui, huyu km nawajua personally watu watano waliomla vp kuhusu nisiowajua ambao ni possible watakua ni wengi.
This is valid, ndio maana si date mtaani, jirani, kazini, kanisani, shuleni , chuoni kama udom au UD ni sawa maana ni pakubwa sana.
 
Visa waga vinakuja kwa sura hiyo; mtu anategemea kitu flani toka kwako, asipokipata anataka kukukomoa kwa namna hiyo.
Nakumbuka pale DDC Mlimani park, watu wawili, nahisi ni bibi na bwana sijui walipishana nini, wakaanza zozana kwenye meza yao. Basi yule mkali kwa hasira, akarusha matusi bibie akamrudishia, akaenda kwenye gari akawasha gari akatembea.
ikabidi yule sister awapigie watu simu, alipe bili zile na alikuwa na mtoto.
Sasa unafikiria kama asingekuwa na hela ingekuwaje.
Anaishia kudhalilika tu!
 
Wakuu hebu tumalizie weekend na mada mkangamfu.

Ewe mwanaume ni kitu gani ukikiona kwa mwanamke au mwanamke akikifanya kwako inakukata stimu kabisa yaan turn off.

Mimi nitalist kadhaa
1. Mwanamke mwenye vinyweleo mikononi na miguuni, aisee bora mikononi naweza vumilia ila miguuni pale ameweka miguu mapegani unaichapa nikihisi vinyweleo yaan napoteza mzuka kabisa

2. Mwanamke anaenuka mdomo. Unaweza kuta pisi nadhifu kweli ila akiongea sasa daah, kuna mda huwa najiuliza hivi hawezi hata kuweka mkono karibu na kinywa kudetect kama anatoa harufu mdomoni na kuchukua hatua kama kula PK au pipi zenye harufu nzuru au mint?

3. Mwanamke asievaa pichu, hii sio turnoff ila inanikosesha utamu tu sababu mimi burudani yangu ni kuona mwanamke amevaa kiziba asali tena kikiwa chekundu au cheusi au pink hapo ni balaa

ongezeeni wadau hizi pisi zijifunze
anaejichubua halafu ni mweupe, vidole sehemu nyingine mirinda nyeusiiiii, sehemu nyingine fanta orange na wakati fulani anabadilika sura nzima inakua imeiva kama addicts wa visungura,

miguuni sasa,
utadhani ana mapunye dah, hua naskia kinyaa sana na kutafakari huko ndani si kunaweza kua ni kinyaa zaidi?

hua nashindwa hata kumuangalia alivyo, nikiona uchubuzi tu umefanyika kwenye mwili wake, simuangalii tena 🐒
 
Back
Top Bottom