WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

Harufu mbaya ya papuchi
 
Kwani mavitenge yanakuudhi nini mkuu? Si mkiwa faraghani atayavua umnyandue sawasawa?
 
Hao ndio wanaofundishaga wanawake mavitu ya ajabu, na hao ndio wa kwanza kuwahukumu wanawake kwa tabia hizo! Mwanamke unampenda unaanzaje kumpitishia vidole kwenye nanii ya takataka!!!
oyaaa😀
Duh aiseee! Leo sikuwa na mpango wa kucomment huu uzi….

Kutokutakwa na mwanaume kama wewe ni baraka kubwa sana!
church girl wewe. hupendi hivyo vitu kabisa. safi
 
Mwanamke nnae lingana nae kimo ✋🏾, napenda kudominate kwa upande wa umbo somehow niwe naonekana protective au more masculine ila anae nizidi kimo mimi hapana big no.

Wanawake wapole hahah hawa wakuu kaeni nao mbali, hawa ndo hearts breaker 💔 .

Mwanamke anae taka mda ote umpe mda wako (ATTENTION SEEKERS) Run away..🏃🏿

Na dependent women, NOOOOO!!.

IM IN LOVE WITH MISS INDEPENDENT 😍

NB: my obsession ni harufu kuna wanawake wanaharufu natural yakuvutia sana 🤤😋, hawa ndo wananifanya niamini katika ulimwengu wa mapenzi 🙌🏾.
 
Demu anayenuka kwapa kama.shetani na mwenye nywele na huzurungi kwapani kama kaficha kifaranga cha kuku mm huyo ndio turn on kwangu namkubali kinyama.

Msijekusema sipo serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…