Wanawake 7 kumtaka mwanaume mmoja. Unyenyekevu na utiifu vyahusishwa katika ndoa

Isomwe na FaizaFoxy
 
Nini kinawavutia na kuwaleta pamoja? Mke na mume si sawa na marafiki wawili, wapatanao na kuendana katika maisha yao ya Kila siku? Kwa nini urafiki unadumu miaka na miaka, tangu utoto hadi uzeeni au kifo, ila ndoa unaona ni kifungo?
 
Ila kusema ukweli isingekua din ningeoww wadada122[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nini kinawavutia na kuwaleta pamoja? Mke na mume si sawa na marafiki wawili, wapatanao na kuendana katika maisha yao ya Kila siku? Kwa nini urafiki unadumu miaka na miaka, tangu utoto hadi uzeeni au kifo, ila ndoa unaona ni kifungo?
Ndoa ni mafungamano ya kimwili, kihisia, kisheria na kiuchumi pia.
Urafiki-Hauna hizi sifa! sana sana ni watu wenye kufanana tabia.

WATU WANAWEZA KUFUNGA NDOA KWA SBB MBALIMBALI KAMA,UCHUMI, WATOTO, UMRI , CHEO, UMAARUFU, NA KUSAHAU SBB YA ASILI-UPENDO WA KWELI
 
Hivi wale wanaume wanaoolewa na wanaume wenzao huwa wanautoa wapi utiifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…