Wanawake acheni hii tabia mara moja

Wanawake acheni hii tabia mara moja

Demu akishakua mlevi tu huwa kuna bolt zinalegea kichwani, huwezi kumkuta Dem ambae siyo mlevi kaenda kukaa sehem ya starehe na hana hela ya kujihudumia kwenda kuombaomba na kutega wanaume
Wapo mzee tena wengi sana
 
Mbona sijakutaja jina lakini unajitaja mwenyewe [emoji23]
Sikia kijana mimi sinywi pombe na siendagi huko pub sijui bar and am too old for that of stuff. Ila tu sijaelewa kwa nini wewe ukereke na mtu kunywa bia yake masaa mawili ilhali hajakubughudhi kwa lolote. Naamini si Kila anayefanya hivyo anataka wewe umnunulie..huenda anamsubiria mtu? Au labda ana appointment muda fulani anasogeza muda utajuaje
 
Mwingine anakua ana stress..anaamua kujipumzisha na kinywaji kwa masaa mengi ..! Kwanza mwanamke anayekunywa bia taratibu ana ustaarabu( anajibrand) sana kuliko anayepiga mitarumbeta...mijicho juu juu hatulii
 
Back
Top Bottom