Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo mzee tena wengi sanaDemu akishakua mlevi tu huwa kuna bolt zinalegea kichwani, huwezi kumkuta Dem ambae siyo mlevi kaenda kukaa sehem ya starehe na hana hela ya kujihudumia kwenda kuombaomba na kutega wanaume
Akiingia king anapukutishwaWewe ni mgeni mjini, najua kwenu kijijini uliambiwa habari za machangudoa, ndio hao sasa
Ndio anywe masaa mawili?Asa kama wana hela ya bia moja je
Ukimuona wa hivyo si unampa tu ofa ya bia zingine, kwani sh ngapiNdio anywe masaa mawili?
Ukimwambia agiza ana change kinywaji una shangaa kaagiza martine rose wine au four cousinUkimuona wa hivyo si unampa tu ofa ya bia zingine, kwani sh ngapi
Kama ni pisi kali mnunulie atakachoUkimwambia agiza ana change kinywaji una shangaa kaagiza martine rose wine au four cousin
Na awe kavaa vizuri na manukato mazuriKama ni pisi kali mnunulie atakacho
Pis kali sikuiz kichomKama ni pisi kali mnunulie atakacho
Sikia kijana mimi sinywi pombe na siendagi huko pub sijui bar and am too old for that of stuff. Ila tu sijaelewa kwa nini wewe ukereke na mtu kunywa bia yake masaa mawili ilhali hajakubughudhi kwa lolote. Naamini si Kila anayefanya hivyo anataka wewe umnunulie..huenda anamsubiria mtu? Au labda ana appointment muda fulani anasogeza muda utajuajeMbona sijakutaja jina lakini unajitaja mwenyewe [emoji23]
Acha kufannaisha macalan na vitu vya kijinga basi jombaaNinyi nao mmezwa na savana 😂😂
We mwenyewe mbona unaombaga ombaga ofa humu?..au unasahau napema..kati ya comments zako 10, 3 umeomba ofa ... unapenda mitoko na hela huna...mko same boat ..mkae mjadili mnaachaje hiyo tabia😔Ukimwambia agiza ana change kinywaji una shangaa kaagiza martine rose wine au four cousin
Mwingine anakua ana stress..anaamua kujipumzisha na kinywaji kwa masaa mengi ..! Kwanza mwanamke anayekunywa bia taratibu ana ustaarabu( anajibrand) sana kuliko anayepiga mitarumbeta...mijicho juu juu hatuliiSikia kijana mimi sinywi pombe na siendagi huko pub sijui bar and am too old for that of stuff. Ila tu sijaelewa kwa nini wewe ukereke na mtu kunywa bia yake masaa mawili ilhali hajakubughudhi kwa lolote. Naamini si Kila anayefanya hivyo anataka wewe umnunulie..huenda anamsubiria mtu? Au labda ana appointment muda fulani anasogeza muda utajuaje
Ndio, hapo utajikuta na hela ya uber unampea kiroho safiNa awe kavaa vizuri na manukato mazuri
Labda kama hauna helaPis kali sikuiz kichom
Hii comment yako imekuja ghafla sanaWe mwenyewe mbona unaombaga ombaga ofa humu?..au unasahau napema..kati ya comments zako 10, 3 umeomba ofa ... unapenda mitoko na hela huna...mko same boat ..mkae mjadili mnaachaje hiyo tabia😔
Huyu dogo anaombaga ombaga sana humu..leo anajitoa ufahamu..mradi awaseme tu wanawake😐Hii comment yako imekuja ghafla sana
Anajisahaulisha sio😂😂Huyu dogo anaombaga ombaga sana humu..leo anajitoa ufahamu..mradi awaseme tu wanawake😐