Wanawake acheni uchafu kwenye vyumba vyenu mnatia aibu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kiukweli hawa jamaa wachafu Sana.

Nimeona hili Jambo niliseme, yaani ukijichanganya kuingia katika gheto la mwanamke utajuta kuzaliwa

Hivi nyie wanawake kwanini hamjipendi, mnashindwa kufua hata mashuka tu?

Ahaa mnaboa sana, mna usafi wa nje tu lakini ndani aibu. Kama nasema uongo waulizeni wanaume.

Wengine mmeolewa lakini bado hamjitambui, hamna akili za kutawala mazingira.

Uchafu siyo mzuri.
 
Nasikia wanasema unapewa wa kufanana nawe kwahiyo hao ndio size yako pambana nao hukohuko mfundishane usafi
 
Kiukweli hawa jamaa wachafu Sana.

Nimeona hili Jambo niliseme, yaani ukijichanganya kuingia katika gheto la mwanamke utajuta kuzaliwa

Hivi nyie wanawake kwanini hamjipendi, mnashindwa kufua hata mashuka tu?

Ahaa mnaboa sana, mna usafi wa nje tu lakini ndani aibu. Kama nasema uongo waulizeni wanaume.

Wengine mmeolewa lakini bado hamjitambui, hamna akili za kutawala mazingira.

Uchafu siyo mzuri.
Maghetto mengi ya ME ni kama umeingia kwenye zizi la beberu
 
Kuna demu sio mchafu ila nimemweka kundi la wachafu. Yy kila losheni ipo getto hajui anapaka nini. Kila spray perfume splash sansiro yaaan kila kinachonukia ananunua aseee huo nao ni uchafu. Kuweni specific wanawake. Amua kuwa na vipodozi vichache unavyoona vinakupendeza na sio kila kitu unataka ununue aseee huo ni uchafu
 
Hii haipo kwa Wanawake tu kuna baadhi ya Wanaume ni wachafu mfano wake hakuna.
 
Hapo umewaonea wanawake wasafi bro, ukitaka kulala bila kuoga atalalamika then unaenda kuoga yaishe
 
Kuna demu sio mchafu ila nimemweka kundi la wachafu. Yy kila losheni ipo getto hajui anapaka nini. Kila spray perfume splash sansiro yaaan kila kinachonukia ananunua aseee huo nao ni uchafu. Kuweni specific wanawake. Amua kuwa na vipodozi vichache unavyoona vinakupendeza na sio kila kitu unataka ununue aseee huo ni uchafu
😅😅😅watu wasitengeneze combo zao kwa amani jamani
 
Back
Top Bottom