Wanawake acheni uchafu kwenye vyumba vyenu mnatia aibu

Wanawake acheni uchafu kwenye vyumba vyenu mnatia aibu

Wanawake wengi ni wasafi ukifananisha na akina nyie. Ni wanawake wachache ndio wako hivyo usijumuishe wote.
 
Labda wanawake wa kihaya wa huko kwenu.
Njoo Tanga uone Kama utarudi kwenu.
 
Kiukweli hawa jamaa wachafu Sana.

Nimeona hili Jambo niliseme, yaani ukijichanganya kuingia katika gheto la mwanamke utajuta kuzaliwa

Hivi nyie wanawake kwanini hamjipendi, mnashindwa kufua hata mashuka tu?

Ahaa mnaboa sana, mna usafi wa nje tu lakini ndani aibu. Kama nasema uongo waulizeni wanaume.

Wengine mmeolewa lakini bado hamjitambui, hamna akili za kutawala mazingira.

Uchafu siyo mzuri.
Sio wote.ujakutana na wanawake wasafi ukiingia geton mwake unadata
 
Back
Top Bottom