DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Tena ni zigo la misumari yaaniApambane na zigo lake ๐
Kabisa amlete msungo huyo tumpe somoTena atuombe msamaha aisee,, Ilo furushi lake lije tulifunde kidogo ๐
Maghetto mengi ya ME ni kama umeingia kwenye zizi la beberuKiukweli hawa jamaa wachafu Sana.
Nimeona hili Jambo niliseme, yaani ukijichanganya kuingia katika gheto la mwanamke utajuta kuzaliwa
Hivi nyie wanawake kwanini hamjipendi, mnashindwa kufua hata mashuka tu?
Ahaa mnaboa sana, mna usafi wa nje tu lakini ndani aibu. Kama nasema uongo waulizeni wanaume.
Wengine mmeolewa lakini bado hamjitambui, hamna akili za kutawala mazingira.
Uchafu siyo mzuri.
Asitujumuishe sasa na zigo lake la misumari ๐คฃTena ni zigo la misumari yaani
๐ ๐ ๐ watu wasitengeneze combo zao kwa amani jamaniKuna demu sio mchafu ila nimemweka kundi la wachafu. Yy kila losheni ipo getto hajui anapaka nini. Kila spray perfume splash sansiro yaaan kila kinachonukia ananunua aseee huo nao ni uchafu. Kuweni specific wanawake. Amua kuwa na vipodozi vichache unavyoona vinakupendeza na sio kila kitu unataka ununue aseee huo ni uchafu