mdogo wako alitoa mimba secondaryKadogo kangu mwaka wa 2 kameolewa halafu hakajapata mtoto..stress naona zataka kukaua.
Mungu Amsaidie..maana mswifi si watu wa mchezo
Wakituambia sababu ndio watapata watoto?Uwakumbushe wenzako wakiwa wanatiana moyo watueleze sababu zinazowafanya wasipate watoto sio wanatiana moyo tu.
Maana kila kitu kina sababu.
Huenda ikawa hivyo. Maana wapo waliofanya makosa na hawajui kama wamefanya kosa,pia wapo walio fanya makosa na wana jua kwamba ni kosa ila hawaja tubia, kisha wakapewa mtihani. Kukosa mtoto ni mtihani kama mitihani mingine, kwayo ina majibu yake kwa maana huenda wakapata watoto.
Kwa hiyo kupata mtihani ni lazima uwe umekosea? Huwezi kupata mitihani tu kwaajili ya kuimarisha imani yako?Huenda ikawa hivyo. Maana wapo waliofanya makosa na hawajui kama wamefanya kosa,pia wapo walio fanya makosa na wana jua kwamba ni kosa ila hawaja tubia, kisha wakapewa mtihani. Kukosa mtoto ni mtihani kama mitihani mingine, kwayo ina majibu yake kwa maana huenda wakapata watoto.
Mungu ajibu haja za moyo wako. Kamsome Hanna jinsi alivyonangwa na Penina. Ila Hanna hakuchoka kumuomba Mungu. Hatimae akampa Samuel.Naomba tukutane tushauriane kuhusu changamoto zetu na namna tunavyokabiliana nazo.
Mimi changamoto kubwa ninayoipata ni ubaguzi kutoka kwa wanawake wenzangu. Ubaguzi huu unajitokeza zaidi kupitia mazungumzo ya kebehi na urafiki.
Hili ninakabiliana nalo kwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo kwa vile mume wangu ananipa ushirikiano mkubwa.
Karibuni.
Nani amesema hivyo ?Kwa hiyo kupata mtihani ni lazima uwe umekosea? Huwezi kupata mitihani tu kwaajili ya kuimarisha imani yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu fafanua hapo kwenye aina ya nguvu unazotaka Mungu awatie...
Namaanisha Mungu awape subira na uvumilivu, pia wasichoke kuombaHebu fafanua hapo kwenye aina ya nguvu unazotaka Mungu awatie...
Kuna watu wanatoa mimba usiku na mchana na bado Kinga wanatumia Sana ila akikaa vibaya mimba hiyo usiishi kwa kukariri.Aah wap, 99asilimia ni hivyo na kutumia sindano kwa muda mrefu,
kuna wengine wakipata mtoto mmoja au wawili wanaanza kuchoma sindano na baada ya hapo habari ya mtoto kwisha!
Sikutegemea swali dhaifu kama hili ulize wewe ambaye una imani angalau kiasiUwakumbushe wenzako wakiwa wanatiana moyo watueleze sababu zinazowafanya wasipate watoto sio wanatiana moyo tu.
Maana kila kitu kina sababu.
Nionyeshe swali liko wapi hapo bibie.Sikutegemea swali dhaifu kama hili ulize wewe ambaye una imani angalau kiasi
Una mpiga maswali mazuriKwa hiyo kupata mtihani ni lazima uwe umekosea? Huwezi kupata mitihani tu kwaajili ya kuimarisha imani yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba ile comment sio swali unataka kujuaNionyeshe swali liko wapi hapo bibie.
Sikutegemea swali dhaifu kama hili ulize wewe ambaye una imani angalau kiasi
Wanaume wenye matatizo ya low sperm count/ no sperm at all. Na nyie mlitoa nini? Au punyeto?