Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Wanaangalia upole wako kwanza....kila mwanaume ana viashira vya kike kidogo, na Kila mwanamke ana viashiria vya kiume kidogo......
Urafiki unajebgwa taratibu mara unaanza kushikwakwa.....
 
Kigamboni ina mashoga wengi sana tena sana ukienda Longono utawaona
 
Wanaangalia upole wako kwanza....kila mwanaume ana viashira vya kike kidogo, na Kila mwanamke ana viashiria vya kiume kidogo......
Urafiki unajebgwa taratibu mara unaanza kushikwakwa.....
Aaaaah wee thubutuuu, wanakua washajitoa ufahamu wallah, hivi hivi mmmh
 
Sasa vibe unalomuonyesha anakosa uhakika, kwasababu Kuna wale 'bisexual' wanasukuma jinsia zote mbili.....
Najua, ila shoga kujitongozeshaa hadi kumtamkia muhusika, haijakaa poa, bora uoneshe ishara akielewa fresh, akikaushaaa poa tyuuh.

Sasa unamfungukia mwshoe unasambazwaa mtaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Soko linakua au vipi[emoji23]
 
Kigamboni ina mashoga wengi sana tena sana ukienda Longono utawaona

Rongoni ni beach club na wateja WA hiyo Beach club asilimia 90 sio wakazi wa Kigamboni.... asilimia 90 wanatokea Mbagala....
Unachokiona hapo Rongoni usihusishe na Kigamboni
 
Rongoni ni beach club na wateja WA hiyo Beach club asilimia 90 sio wakazi wa Kigamboni.... asilimia 90 wanatokea Mbagala....
Unachokiona hapo Rongoni usihusishe na Kigamboni
Kuna siku(last wikiend)nipo zangu hapo rongoni na demu angu mida ya saa 10 jioni,tumepoa ile kinyamwezi tu,tunaenjoy breeze na vinywaji mbele yangu naona kuna meza wamekaa watu wanne wanaume wa 3,na demu mmoja.

Wanaume wawili kati yao ni wenye asili ya asia(wahindi).

Wengine ni wabongo tu,ja maa walikuwa wanakula gambe na kiepe na mambo yao mengine,wale wahindi walikuwa wanakula sana gambe asee,baada ya muda kidogo gambe lao likakata muhindi mmoja akainuka,akaanza kuvua nguo ili akaogelee,picha linaanza anatoa mtandio kwenye rasket anajifunika then anabadili nguo..

Ile kuvua suruali jamaa ana shanga kiunoni,daaah aseee nilishangaa kinoma yaaani,nikajikuta natukana mbele ya yule demu angu ,ye akaanza kucheka sana,coz niliona soo kinoma,muhuni alikuwa anatuchoresha sana vidume pale beach asee.

Basi mwana akaenda kuoga zake,akiwa na mshakaji mmoja ambaye alikuwa anaonekana ni beach boy tu,jamaa full kuweka mapozi ya kike coz alikuwa anapigigwa picha na kale kademu pale.

Muda mfupi badae yule mwana mwingine sasa ambaye ni muhindi pia akainuka akazama zake kwenye maji pale wakaanza kucheza cheza pale mbele ya watu hapo,hata hawajali wala nini asee.

Wakaoga palee mpaka walipoona wamechoka mwana mvaa shanga akatoka zake akaja kufua boxer za jamaa yake akazianika kwenye moja ya matairi makubwa pale pembeni ya bahari.

Uvumilivu ukanishinda nikamwambia demu angu twenzetu feri tukanunue mboga twendezetu getto mitaa ya magogoni tupike tule tu.Dah
 
Rongoni ni beach club na wateja WA hiyo Beach club asilimia 90 sio wakazi wa Kigamboni.... asilimia 90 wanatokea Mbagala....
Unachokiona hapo Rongoni usihusishe na Kigamboni
Afande usibishe wateja wa mbagala ni siku za holiday tu pale Hadi kuna photographer mashoga
 
Ila km huyo ungemzibua makofi akili imkae, huwa nasema kila siku shoga yeyotee akikusumbua na wee hutaki malizana nae hapo hapo.

Ila nimechekaa hadi machoziii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu wanapitia magumu khaaah
Kwann nivunje sheria ukishawajua hawasumbua la msingi kumkwepa utampiga alafu haisaidii chochote
 
Rongoni ni beach club na wateja WA hiyo Beach club asilimia 90 sio wakazi wa Kigamboni.... asilimia 90 wanatokea Mbagala....
Unachokiona hapo Rongoni usihusishe na Kigamboni
Tungi midizini kichangachui maeneo ya uwanja wa swala kuna vishoga kibao vinakaa mitaa hio na ni kwavile sina uzoefu sana wa mitaa ya katikati pale ila kigamboni imechafuka njoo sasa kuelekea geza kuelekea kibada aloo wapo kibao. Wanaipenda rongoni kwakua wanajua ni fukwe ya jeshi na usalama upo kiasi japo ukijipindua unaliwa kichwa mapema kabla wajeda hawajaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…